Nimelewa tila lilaa nimelewa tilaliaa

Hujui JF Chit chat ni ya kula bata.......halafu ID yako kuna mtu kaihak? mbona unaleta unyonge ijumaa hii...Acha woga au wewe sio Young_Master

Ndio mimi mzeiya ambaye watu huniita Meezy the Hustler a.k.a Young_Master cuz I flow very faster like Chris Breezy and Lil Weezy the carter...And you know what...I neva bring mashauz, i call myself Micgadz, I make it douz, cuz am hotter than the sun.
 
Ndio mimi mzeiya ambaye watu huniita Meezy the Hustler a.k.a Young_Master cuz I flow very faster like Chris Breezy and Lil Weezy the carter...And you know what...I neva bring mashauz, i call myself Micgadz, I make it douz, cuz am hotter than the sun.

Yeah now this is Young master
 
Kumbe wewe hujui kitu kabisa.....Kenya wale walikunywa mchanganyiko wa ethanol (ya kizungu) eti wanadhani chan'gaa.

wamekunywa industrial alcohol itwayo methanol,upofu nje nje.
Pombe za kawaida ni ethanol.

Organic kemia inapanda? Ok

methanol = CH3OH = upofu
ethanol = C2H5OH =beer=changaa=gongo=waragi etc
 
platozoom mi ndio nashtuka na sikumbuki nilirudi sangapi
Tilarila yangu ya jana ilikuwa km ifuatavyo
Babylon ndofu 3
Bougalou ndofu 2
Olduvai ndofu 2
Triple A Sikumbuki nifunga na ngapi ila mara ya mwisho nakumbuka nulijidunda 4 baada ya hapo ndo nashtuka saahizi mornie
BAGAH sitaki maneno
 
Last edited by a moderator:
Wewe mtoto unakata stimu kabisa hayo majina yananifanya nitoke machozi.......kumbe magesa kafariki dah RIP. Maduka alikwenda Rebu...sheba yuko musoma niliambiwa online na mtoto wake.......Onyango yule mwalimu wa english mlemavu...sapa ok kwa sana.............Jina la Rugumba ndio nalitamka kwa mara ya kwanza baada ya miaka 17 (mwalimu wangu darasa la kwanza).

Umenipeleka mbali sana aaaaaaaaaagh Charm why?

Kumbe mwajuana eeh lol
 
siku ikikubangua ukasalula kwenye bedroom ya wazazi wako huku unawaambia 'yeh pop whatsup' siku hiyo ndo utajua bange mbaya.
no b52 me ctumii alcohol yoyote but napulisa ile kitu ya natural aka mtansania haliç. pia napulisa occasionally couz huwa inanipa stim ya mwes msima!
 
cha kibumaye hakina stim, ushaonja cha bhukira! weeee

Plato & Charmy msidanganye kuhusu kijiti , sijui cha wapi kikali, hivi mnajua hata wataalamu wa Sacatry unit pale Mirembe walishathibitisha jiti la KYELA halina mpinzani !
Tena niwaibie siri kwenye Shamba la Babu yake Mhe Mbeykemwa ndo unapatikana mzigo wa adabu, coz analima kisasa.
 
Back
Top Bottom