Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,649
Orijino ya kichina au ya mbagala rangi tatu
Kichina wapi mkuu...Hii ni direct from milima ya upareni.
Orijino ya kichina au ya mbagala rangi tatu
Hiyo nimeipenda ngoja nimwite rafiki yangu Ingram na Mwita jenero
Hilo nakubaliana na wewe ila hakikisha unakitunza eeh!!
Chacha Ingram umemjulia wapi we mtoto mbona unanitia kwenye mtihani........
AKAA......Very beautiful young lady
Duh we mtoto balaa......kwa sasa nafikiri yuko Zanzibar...rafiki yangu sana...umesoma wapi weye (primary)
umeona eeh,i wish ungeniona. nimepiga zangu kinyera mumo ya brown,high heels ya off white,kofia brown na poch ya chui chui ya brown na off white weeeee hadi najitamani! bila kusahau mitupio ya nyongeza km chen,heren na briclet
me primary nimesoma nae, o level nimesoma nae thou alikuwa kantangulia 2yrs.mara ya mwsh nlikutana nae akanambia afanya kaz north mara. . tangu hapo cjaonana nae tena!
Mkurya na sifa za kihaya....halafu wewe
Aliondoka north mara akaenda DAR baadaye Zenjbar.........aisee wamfahamu mwalimu Maduka,Kiganja, Maisori, Didas, Zakaria, Magesa and so on.........ninyi watoto dah........
Aisee kwenye machimbo ya almasi.............let paaary yeah yeah
oh,ucnikumbushe jaman. magesa ashafark. maduka cjui alihamiaga wapi,kiganga alikuwaga rebu,maisor cjui nae wap na zk.didas nae cjui stl 77 hta celewi.nina miaka cjakanyaga huko. vp onyango unamkumbuka? mwl sapa,revelian,sheba na mwl rugumba?
Tupary wapi mkuu...hapa sio club...hapa ni JF mkuu...utakula BAN shauri yako.