Nimelewa tila lilaa nimelewa tilaliaa

ushalewa, kakojoe ukalale sasa

Hivi Bidada hili neno "kakojoe au kukojoa"
mbona unalitaja kiuwepesi kihivi ?
Sitaki kuamini kua huelewi makojozi humfikisha mkojoaji at the point of coma! Unconsiously!
Kwanini usitumie neno "kujisaidia" "hajandogo" n.k ?
 
Hivi Bidada hili neno "kakojoe au kukojoa"
mbona unalitaja kiuwepesi kihivi ?
Sitaki kuamini kua huelewi makojozi humfikisha mkojoaji at the point of coma! Unconciously!
Kwanini usitumie neno "kujisaidia" "hajandogo" n.k ?
Teh sitii neno mimi
 
wamekunywa industrial alcohol itwayo methanol,upofu nje nje.
Pombe za kawaida ni ethanol.

Organic kemia inapanda? Ok

methanol = CH3OH = upofu
ethanol = C2H5OH =beer=changaa=gongo=waragi etc

Haya ticha..........vipi mning'inio wa methanol nipe formula yake
 
platozoom mi ndio nashtuka na sikumbuki nilirudi sangapi
Tilarila yangu ya jana ilikuwa km ifuatavyo
Babylon ndofu 3
Bougalou ndofu 2
Olduvai ndofu 2
Triple A Sikumbuki nifunga na ngapi ila mara ya mwisho nakumbuka nulijidunda 4 baada ya hapo ndo nashtuka saahizi mornie
BAGAH sitaki maneno

Afadhali yako.Mimi sikumbuki nilikula dozi gani!!
 
ushalewa, kakojoe ukalale sasa
BADILI TABIA Unaongea na mimi? au Erickb52.....hebu msome hapa chini

mi ndio nashtuka na sikumbuki nilirudi sangapi
Tilarila yangu ya jana ilikuwa km ifuatavyo
Babylon ndofu 3
Bougalou ndofu 2
Olduvai ndofu 2
Triple A Sikumbuki nifunga na ngapi ila mara ya mwisho nakumbuka nulijidunda 4 baada ya hapo ndo nashtuka saahizi mornie
BAGAH sitaki maneno
 
Last edited by a moderator:
Plato & Charmy msidanganye kuhusu kijiti , sijui cha wapi kikali, hivi mnajua hata wataalamu wa Sacatry unit pale Mirembe walishathibitisha jiti la KYELA halina mpinzani !
Tena niwaibie siri kwenye Shamba la Babu yake Mhe Mbeykemwa ndo unapatikana mzigo wa adabu, coz analima kisasa.
Judgment unafanya masihara wewe..........Kitu cha TA ndio mpango mzima........hiyo ya kwenu tunakula kama mboga, charminglady mwambie huyo..............tena tuna mpango wa kumpatia Bishanga tuone makeke yake
 
Last edited by a moderator:
Is it? kongosho kweli shemale? Vile sexual oriention ya shemales is it a HE or SHE or BI.
 
Unazeeka wewe, shauri yako! Stop being too observant and breath all u can (sorry mvinyo unataka kidhungu tu, sijui nimeunguza fuse?)

Naomba hilo neno 'umezeeka' uliondoe kabla hawajasoma wengine................Kuhusu kizungu si tu umeunguza fuse bali socket breaker imevunjika kabisa
 
Back
Top Bottom