Nimelewa tila lilaa nimelewa tilaliaa

Circuit breaker nnazo kadhaa, kwa hiyo ikibreki moja zingine ni automated!
Sasa kama sio kuzeeka unashtukashtuka nini sasa?
Naomba hilo neno 'umezeeka' uliondoe kabla hawajasoma wengine................Kuhusu kizungu si tu umeunguza fuse bali socket breaker imevunjika kabisa
 
Circuit breaker nnazo kadhaa, kwa hiyo ikibreki moja zingine ni automated!
Sasa kama sio kuzeeka unashtukashtuka nini sasa?

Sio uzee ni mstuko wa kheri lakini usisahau "Ganda la mua la jana chungu kaona kivuno"................au unaonaje King'asti "Mcheza hawi kiwete,ngoma yataka matao"
 
Last edited by a moderator:
I don't know how 'am writing this thread......................Wapi Erickb52, Asprin, papaa Bishanga, the sober shemale Kongosho 'ma former wife charminglady.. cacico the lady in da haus, Mphamvu msauzi chotara, Young_Master, the man himself Judgment & all JF CHIT CHAT's

Let hav paaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaary....Dj nani pale.....? weka kitu cha Msondo "hapa piga ua talaka yangu utatoa" ukimaliza unatundika cha Juma Nature "watu waruka na kukanyagana"

Utavunjwa duka wewe kijana, we penda kulewa-lewa tu...
 
Last edited by a moderator:
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom