Nimeletewa IPhone 13 Pro max na rafiki yangu

Nimeletewa IPhone 13 Pro max na rafiki yangu

Wanajifunza kule, mijitu yenye roho mbaya inapatikana Africa hasa Tanzania.
Kabisa bob. Tanzania haiendelei sababu kuna watu umasikini upo kwenye damu unatembea mwili mzima. Jitu halitaki mwingine apate hata kama haita mgharimu chochote.

Me huwa nachukia sana hayo majitu nikikutana nayo.
 
Angalia mfano hiki nilichoandika tu hapa.

  • Kuna mtu hadi ananitukana eti me ni MJINGA.
  • Mwingine hilo li simu ni FEKI
  • Mwingine yangu ni ORIGINAL yako FEKI.
  • Mwingine wewe umeletewa zawaidi za KUTUPA.

Kuna shida kubwa sana miongoni mwetu watanzania,ila sawa ngoja tuone tutafika wapi.
 
Udanganyi.mara paap aliyekupa zawadi ndie mnunuzi
Hayupo kasafiri kurudi Marekani tangu tarehe 23 May, nilimsindikiza hadi airport akasafiri kwa FLY EMIRATES kurudi kazini kwake ni raia huko ana familia.
 
Mtu akakupa Zawadi kawe usiiuze au kumpa mtu mwingine. Kakuletea wewe na sio ajili ya kuuuza utajinyima vingi toka kwa watu ukiwa na tabia hiyo.
Weka hilo kichwani, Unless iwe ni njia ya Market umetumia ili kuwapata wakuja
So niitunze kama pambo mkuu?, marketing? naweza kufanyia marketing IPhone Pro Max? au inajifanyia marketing yenyewe? I'm smarter enough than any contemplation you can easily establish regarding this matter, all information provided are genuine.
 
Mazingira huwa yanawabadilisha. Upambanaji plus upatikanaji wa fursa za kujiingizia kipato kwa urahisi inawafanya kuondokana na roho za kibongo za kwann.

Maana akikupa wewe chochote ana uhakika atapata tena mara mbili yake so haina shida.

Kibongo bongo mtu anaweza kuwa na milioni kwenye akiba ukaomba akuazime 20,000 akipiga hesabu namna kaipata ile milioni anaona hapana, hatoweza kuichenji kwaajiri yako wacha tu asikupe kama ni dhambi MUNGU atasamehe.

Umasikini huwa unawafanya watu kuwa na tabia za ajabu sana kama ushirikina, uchoyo, ubinafsi, kubania wengine, kuchukia wengine bila kukosewa lolote, wivu, ghubu, etec.

Ndio maana babu yetu Nyerere alitusihi sana kuwa tuupige vita sana umasikini kwa maana huwa unaleta matatizo mengi sana.
Upo sahihi Mkuu, Ni kweli kabisa tunarogana sababu ya umasikini tu
 
iphone ina sura ndefu kama asha ngedere..
Nakuheshimu sana, sio wewe uliyetaka kutoa 800K, au ilimradi ukoment mkuu? sio IPHONE 13 PRO MAX NI COPY, pia ina sura ndefu tofauti na iPhone zingine, a case closed, satisfied?
 
Angalia mfano hiki nilichoandika tu hapa.

  • Kuna mtu hadi ananitukana eti me ni MJINGA.
  • Mwingine hilo li simu ni FEKI
  • Mwingine yangu ni ORIGINAL yako FEKI.
  • Mwingine wewe umeletewa zawaidi za KUTUPA.

Kuna shida kubwa sana miongoni mwetu watanzania,ila sawa ngoja tuone tutafika wapi.
😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom