Nimeletewa IPhone 13 Pro max na rafiki yangu

Nimeletewa IPhone 13 Pro max na rafiki yangu

Niko tiyari kubeti mkono wewe uweke jiwe. Hiyo siyo iPhone 13 Pro Max.

Umeona hapo walipokuzungushia duara kwenye top notch ya juu na chini kwenye flame ya simu na screen. Hii copy imeacha nafasi kubwa ya flame pale chini. Juu pale ile notch kwenye camera ya kwako it seems ni ndogo na lens zake sio idadi sawa na lens zilizopo kwenye original, kwako naona kama kuna lens moja inaonekana sana kuliko, ni kama LED light hivi wakati hakuna high end smartphone ina flash kwa selfie camera. Nyuma ile logo ya Apple ilitakiwa ionekane, wewe siioni sasa sijui simu uliyotumia kupiga picha haioneshi vizuri
 
Check hii video
 
Yaani acha tu Mkuu,kuna watu humu wanaanza kunitukana hadi MATUSI sasa sijui wapi nimewakwaza, anyway God knows.
Usiumie sanaa jaribu ku handle vitu kam hivyo ni changamoto ambz kila mtu anakutana nazo so don't feel lonel together we are
 
Ukipenda kitonga na misaada lazima uone watu wana Roho mbaya wasipo kidhi haja zako.
Hii ni sample ya mijitu iliyojaa roho mbaya, Kitonga ndio nini?

Unaweza kutobowa Bongo bila kushikwa mkono?

Waulize watu waliopata degree zao na kuzifungia kabatini wakati ajira zipo kila siku.
 
hehehe bro marekani hakuna iphone 13 fake, soko la kule bidhaa ziko highly monitored..sio kama tbs kibongo..hiyo umepigwa na unajaribu kurudisha pesa kupitia mteja mwingine asie na ufahamu wa bidhaa za Apple.
Af unajikuta mjuaji..Karibu Mjini
Nimeshawahi kununuwa simu fake Marekani, tena fekero kabisa bora hata simu za Agrey.

Kwahiyo usijidanganye kuhusu hilo.
 
Iphone Nyuma Apple kuliona mpaka Utumie lens.. iphone ya nyokooo
 
Wakuu mwezi uliopita rafiki yangu alikuja kunisabahi kutoka Marekani - Washington, mbali na vitu vingi ameniletea pia zawadi ya IPhone 13 Pro Max, Gb 128.

Kiukweli, mimi sio muumini wa divice za Apple. Nilitaka kujua yafuatayo kutoka kwa wajuzi

Nikiamua kuiuza inaweza pata wanunuzi?

Naweza pata kiasi gani nikiiuza?

Ikiwa kuna yoyote anahitaji aniambie.

Location: Dar es Salaam

View attachment 2279122
Hii simu ni fake...... atalizwa mtu hapa
 
Back
Top Bottom