Nimeletewa IPhone 13 Pro max na rafiki yangu

Nimeletewa IPhone 13 Pro max na rafiki yangu

[emoji23] iphone 13 pro max plus ya buza
IMG_7891.jpg
 
nina jamaa angu pale makumbusho ananunua na kuuza iphone used... naweza kukuunganisha nae uskie atainunua kwa bei gan
3AA00221-A151-406B-8BAC-F0E123DE8F8B.jpeg
 
Hii simu kama hatujaletewa copy bas jina la bwana lihimidiwe[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] iphone 13 pro max plus ya buzaView attachment 2279145
Sawa fahamu hivyo hivyo, iwe ya Buza iwe ya Yombo, utajua wewe, sasa unazungushia duara mahali ilipo reflect taswira ya mikono yangu wakati napigia picha ili?akili zingine bhana[emoji848][emoji848][emoji16] watanzania, punguzeni ujuaji. Haya nionyeshe hicho ulichokiona hapo kwenye hii picha.
IMG_20220701_171628.jpg
IMG_20220701_171838.jpg
 
Imagine huyo jamaa anasoma huu uzi, sijui atatuchukuliaje watanzania!
Kaoza samaki mmoja(Alepewa zawadi) unatujumlisha wote? Unahisi wote humu tungeiuza hiyo simu kama tungepewa zawadi? Mkuu epuka sana kutoa mjumuisho.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Bei ya kutupa wakati we mwenyew umetupiwa
Unacheka na nani? kwa hiyo wewe leo wewe ukipewa zawadi ya Benz kwakuwa ni zawadi utauza laki 5 kwa kuwa na wewe umepewa zawadi si ndio?
 
Back
Top Bottom