Habari za muda huu naimani ni mzima wa afya ngoja kwanza twende mdogo mdogo kununua simu fake siyo kwamba kila mtu anapa ga hata wazazi wetu huwa wanatuletea simu fake bila wao kujua maana simu zinaitaji elimu sana. Ok pengine labla mambo yamebadilika ila kwamimi hapa navyojua iphone hii uliyopost mkuu ni 98% copy au ni fake kabisa kwa hizi sababu zifuatazo
1 Camera uliyopost wewe hapo kama kuna mtu amezoom vizuri atagundua camera ipo moja tu nyingine zote zipo empty iphone original lazima ziwe na camera kwenye frame zake zote
2 Camera uliyopost yenyewe ipo flat kidogo ukilunganisha na iphone original zinatakiwa zije juu kidogo naimani nimeweka na ushaidi wa picha kama nitakuwa nimekosea
3 iphone yako huku chini corner za iphone zinakuwa kama nusu duara hivi ila kwa macho yangu nimeona hiyo siyo nusu duara ila kama nitakuwa nimekosea utaniambia
4 Mkuu hii naona kama imzidi naona frame yake ni kubwa sana kuliko kawaida
Ila haya ni macho yangu tu maana simu sipo nayo chakufanya kwanza
Chukua imei number check kwenye imei info
Mpaka sasa iphone 13 pro max zote bado zipo kwenye warranty
Na ukitaka kuuza hiyo thamani yake ni 2.3M hadi 2.4M
Kwakuwa ina crecks utauza kwa 2.1M kuja juu mpaka 2.2M
Karibu sana