Nimelazwa Kcmc

Pole sana wangu, nipo mo town hapa ntakuja kukuona. ugua pole.
 
Pole sana. Mungu akujalie upate nafuu haraka. Tu PM tuje tukujulie khali!
 
Jamani mbona sijamnyanyasa.. Ngoja nimuulize.. Maana hajawahi kuniambia chochote. Au kakwambia wewe dia?
Hujawahi kunikosea lolote my dear....Kipipi siunajua anapenda tuwe na furaha muda wote....
Najua haitakuja tokea kati yetu....
Nakungoja hapa uliponiacha jana twende kwa Bagah amesharudi Kimanzichana!
 
Get well soon Angel Msoffe!

Tu pamoja ktk kukutakia Kheri nyingi jamani!
 
Jamani mbona sijamnyanyasa.. Ngoja nimuulize.. Maana hajawahi kuniambia chochote. Au kakwambia wewe dia?

Usijali mwaya, kwakuwa ile combination yako na Kaizer ishapita....basi lets forget about that!! Sijui weekend hii mtakuwa wapi wapenzi??
 
Ni Pm uniambie uko wodi gani nimuelekeze shemeji yako aje akuone na kukupa special care, ni daktari mwanafunzi hapo kcmc.
 
Swirry ulianga unaenda Moshi kujifungua..nini tena kinakusumbua ...
Mungu akupe uponyaji mpendwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…