Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,658
- Thread starter
-
- #41
asante sana kipipi, dua zako zatosha kabisa kunifariji, ubarikiwe sanaJamani Angel...pole mwaya! Ningekuwa karibu ningekuletea japo kaApple walau uboost afya dear lolz!! I wish you a quick recovery chipenzi.....Mungu akulinde!!!!
asante sanaUgua pole madame...
thanksGet well soon.
Yani roho inaniuma kujua AM anaumwa au mtu yeyote tu....mzima?
asante sana, nimelazwa wodi ya mastaffpole Angel! Upo wodi gani?
thanks
Angel.. ugua pole dear..
asante sana, natumia kasim kamchina doctor akija nakaficha, nikimiss jf naweza kuzidiwaGet well soon mate. Hata hivyo inaonekana hali si mbaya sana, kwani Dr. amekuruhusu kucheza na computer
nimelazwa hodi ya mastaff
asante sana na Mungu akubarikiAngel.. ugua pole dear..
Mi mzima kaizer, habari ya weekend?
weekend poa Amy...ya kwako vipi? twende kumwona mgonjwa mchana? uandae mtori, manake naona dogo E52 yeye anapeleka matunda. Kuna sijui nani amesema atapeleka ma apple.
asante sana kipipi, dua zako zatosha kabisa kunifariji, ubarikiwe sana
teh teh mi nataka kitaloloo, utaniletea?Ukiwa na hamu ya mtori unambie nikuletee eeh mgonjwa....
asante sana, niko huku kwa muda mrefu sasa hawa jamaa wananifundisha ujanja wa kupata helaPole sana dear, utapona kabisa.Kumbe uko mkoa wa wapambanaji hiyo itakusaidia upone haraka