Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,658
- Thread starter
-
- #21
umenifanya nicheke, nilivyolazwa juzi nilikua very serious wala nilikua sijitambui ila namshukuru Mwenyez Mungu na madaktari kwani sasa naendelea vizuri, nitamshauri Flora Msoffe amwite mwanae PAWPole sasa mdau...... inaelekea si serious sana ndo maana umeweza kurusha uzi. Uko wodi gani nikuje hapo kukuchum? Halafu, umelazwa na laputopu yako au unatumia simu ya mchina? Kama ni ujauzito, Mungu akujalie ujifungue salama. Kakizaliwa kadume kaite PAW kakiwa kademu kaite AshaDii. Sawa eh?:crazy:
Umemgongea LIKE kwa msisitizo zaidi?Pole AM
Get well soon
Hivi wewe na Flora mmechangia baba au babu?umenifanya nicheke, nilivyolazwa juzi nilikua very serious wala nilikua sijitambui ila namshukuru Mwenyez Mungu na madaktari kwani sasa naendelea vizuri, nitamshauri Flora Msoffe amwite mwanae PAW
Habarini wana jf wenzangu, mwenzenu naumwa na nimelazwa kcmc hospital toka juzi sa 5 usiku, NAOMBENI MNIOMBEE DUA KWA MWENYEZ MUNGU NIPONE MAPEMA nirudi kwenye mapambano ya kulikomboa taifa. Mungu ibariki Tz, Mungu ibariki Jf, Mungu ibariki .......
sisi ni mapacha na tuko katika hali 1Hivi wewe na Flora mmechangia baba au babu? Msalimie sana. Au kama vipi mwambukize hako kamimba.
asantePole sana...
asante sanapole sana Angel, utapona tu. Mwenyezi Mungu atakusaidia.
asantepole sana angel!
nashukuru sana ubarikiweMungu akupe nguvu manake yeye ndiye mueza wa mambo yote
nimelazwa hodi ya mastaffpole Angel! Upo wodi gani?
thanksUgua pole madame...
Angel.. ugua pole dear..