Nimelala na mwanamke kitanda kimoja usiku kucha ..........

Ni mfanyakazi mwenzangu tumeenda nchi jirani kwa semina ya siku 5.Tulivyofika tu wakati tunacheki hotel ambayo ni nzuri bei kidogo ipo juu ila kampuni wametupa pesa za kutosha sana,Sasa wakati tunajadiliana jinsi ya kufanya yule sister akasema, Kwa nini tusichukue chumba kimoja tukashare ili tusave hizi pesa? Nilijua ananitania lakini akasisitisha kwamba yupo serious.

Tukachukua chumba kimoja chenye kitanda kimoja tukazama ndani.Ile kuingia tu ndani yule sister akasema anataka kuoga sababu ya uchovu wa safari akjifunga taulo kavua nguo kazama bafuni.Picha nyingi sana zikanijia ifikapo usiku itakuwaje? Sababu yeye ni mke wa mtu na mimi nina mke home.

Nikajiapisha sintofanya chochote na huyu sister kwanza tunaeshimiana sana. Nmimi nikaenda kuoga baada ya yeye kutoka nilivyorudi nikakuta ashavaa nguo. Story story kidogo tukashuka chini tukaenda pata dinner mpaka kwenye saa 5 usiku tukarudi room.
Kufika tu yule sister kavua nguo zake hii sasa alivua mbele yangu akapiga night dressing kajitupa bed.

Na mimi nikajipa moyo nikavua nikapiga bukta nikazama bed.Tukapiga story mbili tatu huku tukiwa tumejifunikia shuka moja.
Mara usingizi ukanipitia kushtuka nimemkumbatia ile mbaya nikijua ni wife home kuchek na yeye kanikumbatia na kaweka mguu juu yangu.Ki ukweli hali ilikuwa ngumu sana mpaka mapigo ya moyo yalibadilika.

Ki ukweli usingizi ulikata nikawa nimemkumabatia mpaka asubuhi. Palipokucha yaani yule sister hana time akazama zake bafuni katoka kapiga suti yake na mimi nikazama bafuni kutoka tukaelekea kwenye hotel inapofanylika semina.

Jamani hii ndio siku ya kwanza kweli niatweza maliza siku tano bila kuingiza ndoa yangu matatani kwa style hii kweli.
Ila nimeapa kutofanya chochote na huyu sister.
Ee mungu nipe ujasiri
.

Dah! haya majaribuni makali sana.....kumbuka mkuu madhumuni ya kuchukua chumba kimoja ni kusave, kukumbatiana rukhsa lakini mkumbuke yeye ni mke wa mtu nawe ni mume wa mtu na pia mnaheshimiana sana. Mapigo ya moyo lazima yaende mbio Mkuu si unajua tena mambo ya "kipya kinyemi" lazima damu ichemke kivyake vyake. Hongereni sana kwa kumaliza siku ya kwanza ya majaribuni makubwa bila kunanihii miye naamini kabisa mnaweza kuzimaliza siku nne zilizobaki salama salmini. Kila la heri....Eeeh Mwenyezi Mungu mpe ujasiri mwenzetu wa uvumilivu wa majaribuni mazito katika siku nne zilizobaki

hapo kwenye red ni rukhsa kwa wazungu tu
 
Si huyu mmatumbi mwenzetu kakata usiku mzima huku amekumbatia bila athari zaidi na huku mapigo ya moyo yakiwa si ya kawaida....Inawezekana bana ila inahitaji moyo wa hali ya juu.
 
Hadithi hii inanikumbusha kisa cha rafiki yangu wa karibu kabisa. Yeye alisafiri na mfanyakazi mwenzie. Sasa wakati wanakata ticket ilikuwa pamoja. Walipofika qatar wakakuta wamewekwa chumba kimoja wakidhani ni bibi na bwana. Anyway kwa sababu ya ugeni wakapiga kimya. Rafiki yangu akajikaza usiku mzima wakiwa wamelala wote, na asubuhi wakaendelea na safari. Walipofika kazini, yule mrembo akatwambia mwenzenu vipi? Hivi ni mwanamme kweli? atalalaje na mm kitanda kimoja mpaka asubuhi bila kufanya lolote kwani mm dada yake? Habari zikamfikia rafiki yangu. alifedheheka sana tena sana.

Sikushauri ufanye lolote ni vizuri kujizuia kwa sababu huwezi jua utaangukia pua wapi. Ila jiandae ukiludi kama huyo dada ana nia mbaya na ww vijembe vya hapa na pale. Binadamu hana jema.

"Nitayaweza yote katika yeye anitiae nguvu"
 
Mko nchi gani? usipojali mnatoka wizara gani?

Wewe ni lazima unatafuta kuvunja ndoa za watu kwa kutafuta info as umeshafikiria ni nani na nani. I hope hatakujibu maana umetaja wizara kwa yeye ameisema??

Kweli mleta mata kuwa makini na majibu yako.
 
Ni mfanyakazi mwenzangu tumeenda nchi jirani kwa semina ya siku 5.Tulivyofika tu wakati tunacheki hotel ambayo ni nzuri bei kidogo ipo juu ila kampuni wametupa pesa za kutosha sana,Sasa wakati tunajadiliana jinsi ya kufanya yule sister akasema, Kwa nini tusichukue chumba kimoja tukashare ili tusave hizi pesa? Nilijua ananitania lakini akasisitisha kwamba yupo serious.

Tukachukua chumba kimoja chenye kitanda kimoja tukazama ndani.Ile kuingia tu ndani yule sister akasema anataka kuoga sababu ya uchovu wa safari akjifunga taulo kavua nguo kazama bafuni.Picha nyingi sana zikanijia ifikapo usiku itakuwaje? Sababu yeye ni mke wa mtu na mimi nina mke home.

I have some doubt about the veracity of your story but then again people are capable of anything and I've learned not to put anything past anyone no matter how far-fetched it may sound.

But all that aside, call me a fuddy-duddy, staid, solemn, or whatever you like but what you both did was downright wrong and very disrespectful to your spouses.

Your sharing of the room and bed just doesn't pass muster in my book. What the hell where you thinking? Would you be okay if your wife shared a room with some guy that she works with?

Ooh well, to each his own but it's things like these that make some people become very cynical about the whole institution of marriage. Your wife probably doesn't know that you are sharing a bed with someone else's wife and her husband probably doesn't know either. Or do they?

Inasikitisha sana na poleni wote mlioko kwenye ndoa. Hii simulizi inaweza ikawa ni ya kutungwa tu lakini si jambo ambalo ni gumu hivyo kutokea. Poleni tena enyi wanandoa.
 
Ni mfanyakazi mwenzangu tumeenda nchi jirani kwa semina ya siku 5.Tulivyofika tu wakati tunacheki hotel ambayo ni nzuri bei kidogo ipo juu ila kampuni wametupa pesa za kutosha sana,Sasa wakati tunajadiliana jinsi ya kufanya yule sister akasema, Kwa nini tusichukue chumba kimoja tukashare ili tusave hizi pesa? Nilijua ananitania lakini akasisitisha kwamba yupo serious.

Tukachukua chumba kimoja chenye kitanda kimoja tukazama ndani.Ile kuingia tu ndani yule sister akasema anataka kuoga sababu ya uchovu wa safari akjifunga taulo kavua nguo kazama bafuni.Picha nyingi sana zikanijia ifikapo usiku itakuwaje? Sababu yeye ni mke wa mtu na mimi nina mke home.

Nikajiapisha sintofanya chochote na huyu sister kwanza tunaeshimiana sana. Nmimi nikaenda kuoga baada ya yeye kutoka nilivyorudi nikakuta ashavaa nguo. Story story kidogo tukashuka chini tukaenda pata dinner mpaka kwenye saa 5 usiku tukarudi room.
Kufika tu yule sister kavua nguo zake hii sasa alivua mbele yangu akapiga night dressing kajitupa bed.

Na mimi nikajipa moyo nikavua nikapiga bukta nikazama bed.Tukapiga story mbili tatu huku tukiwa tumejifunikia shuka moja.
Mara usingizi ukanipitia kushtuka nimemkumbatia ile mbaya nikijua ni wife home kuchek na yeye kanikumbatia na kaweka mguu juu yangu.Ki ukweli hali ilikuwa ngumu sana mpaka mapigo ya moyo yalibadilika.

Ki ukweli usingizi ulikata nikawa nimemkumabatia mpaka asubuh. Palipokucha yaani yule sister hana time akazama zake bafuni katoka kapiga suti yake na mimi nikazama bafuni kutoka tukaelekea kwenye hotel inapofanylika semina.

Jamani hii ndio siku ya kwanza kweli niatweza maliza siku tano bila kuingiza ndoa yangu matatani kwa style hii kweli.
Ila nimeapa kutofanya chochote na huyu sister.
Ee mungu nipe ujasiri.
hivi huko tanzania ndio kuna watu kama wewe? mnajenga nchi yetu kweli ninyi?
 
Ahahahah! hapo hatoki mtu lazima chaga za kitanda zicheze, do what u do best man.
 
As long as huwezi kushare hii humour with ur wife, u ar completely out! I bet hukuweza hata kumpigia mkeo usiku huo!
Ngoja utavuna anachokipanda huyo dada. Kama amepanda bhange inakula kwako now now. Leo ukitoka nunua condom yako uweke kwenye bedside. Ili ukizidiwa na tamaa uiokoe nafsi yako.
 
Manuu, mie namba update za usiku wa leo ilikuwaje?

Jana ilikuwa moyo, leo nini?

Jamani tusimulie, hii story sio video, ni zile za theatre, live on stage.
 
Ninachokiona hapa jamaa umenogewa maana kama unajua majaribu ni mengi na huwezi kuyashinda na dalili umeona siku ya kwanza na kweli una nia hasa ya kuokoa ndoa zenu kwann msichukue kila mtu chumba chake maana umesema pesa mnayo ya kutosha....! Cha muhimu nini kusave pesa na kuharibu ndoa au kutumia pesa kusave ndoa maana hapo vyote viwili haviendi pamoja....!
 
Ni mfanyakazi mwenzangu tumeenda nchi jirani kwa semina ya siku 5.Tulivyofika tu wakati tunacheki hotel ambayo ni nzuri bei kidogo ipo juu ila kampuni wametupa pesa za kutosha sana,Sasa wakati tunajadiliana jinsi ya kufanya yule sister akasema, Kwa nini tusichukue chumba kimoja tukashare ili tusave hizi pesa? Nilijua ananitania lakini akasisitisha kwamba yupo serious.

Tukachukua chumba kimoja chenye kitanda kimoja tukazama ndani.Ile kuingia tu ndani yule sister akasema anataka kuoga sababu ya uchovu wa safari akjifunga taulo kavua nguo kazama bafuni.Picha nyingi sana zikanijia ifikapo usiku itakuwaje? Sababu yeye ni mke wa mtu na mimi nina mke home.

Nikajiapisha sintofanya chochote na huyu sister kwanza tunaeshimiana sana. Nmimi nikaenda kuoga baada ya yeye kutoka nilivyorudi nikakuta ashavaa nguo. Story story kidogo tukashuka chini tukaenda pata dinner mpaka kwenye saa 5 usiku tukarudi room.
Kufika tu yule sister kavua nguo zake hii sasa alivua mbele yangu akapiga night dressing kajitupa bed.

Na mimi nikajipa moyo nikavua nikapiga bukta nikazama bed.Tukapiga story mbili tatu huku tukiwa tumejifunikia shuka moja.
Mara usingizi ukanipitia kushtuka nimemkumbatia ile mbaya nikijua ni wife home kuchek na yeye kanikumbatia na kaweka mguu juu yangu.Ki ukweli hali ilikuwa ngumu sana mpaka mapigo ya moyo yalibadilika.

Ki ukweli usingizi ulikata nikawa nimemkumabatia mpaka asubuh. Palipokucha yaani yule sister hana time akazama zake bafuni katoka kapiga suti yake na mimi nikazama bafuni kutoka tukaelekea kwenye hotel inapofanylika semina.

Jamani hii ndio siku ya kwanza kweli niatweza maliza siku tano bila kuingiza ndoa yangu matatani kwa style hii kweli.
Ila nimeapa kutofanya chochote na huyu sister.
Ee mungu nipe ujasiri.

akupe ujasiri gani wakati pesa kesha kuwezesha unaweza kumdu chumba chako? na mme wake anahudhuria JF, lazima agundue. nakushauri uchukue chumba chako mkuu
 
Ndugu yangu kama hii story ni kweli, gharama ya kitu utakacho fanya ni kubwa saana, kwa familia yako ni hatari naona huu ni mtego wa shetani!!!!! Tena kwa upande wa Mungu unatengeneza njia rahisi ya kuelekea kuzimi kwenye mateso, maana kuzimu ni kweli ipo inasubiri watu watakaotenda mambo ya jinsi hii!!!! Kimbia zinaa itakuletea uangamivu wa milele, chunga saana ndugu huo ni mtego wa shetani ili uingie akumalize!!!!

Back
Top Bottom