Nimelala na msichana mwenye mapepo

Nimelala na msichana mwenye mapepo

hahahaaaaaa kwaio baada ya maombi akatulia?????
 
Shukuru yalikuwa ya kike, yangelikuwa madume, YANGEKUDUU wewe. Afu wengine huwa nigia ya kunyimia watu hiyo kitu
 
Jamani, jana ilikuwaf ni hatari kidogo nikimbie pale nilipo lodge na mshina aliyenisumbua kwa muda mrefu sana ,tulipo fika chumbani hali yake niliona ikaanza kubadilika kama mtu mwenye mapepo ! Ndugu kidogo nikimbie lakini kwakuwa alikuwa mzuri nilijikaza nikafanya na ile hali naona ilizidi ninavyo endelea mara anagagalala mikono anarusha huko anaongea manenoambayo siyajuhi eehhh! Nilikomaa baadaye nikaw mshindi .

Eeeeheeee! ilikuwa hatari usiombe ukutane naye unaweza kukimbia kama huna roho ngumu. Baadaye ndo akanimbia hiyo hali yake ndo maana alichukua muda kunikubalia . Huyu msichana ni mzuri na ametusumbua sana wizarani kwetu da!

Wizarani?
Waziri yupo?
Katibu mkuu yupo?
Kazi ipo kwenye hiyo wizara ambayo badala ya kufikiria namna ya kumkomboa nwananchi mnafikiria kushindana kukomboa tamaa zenu za miili!
 
Jamani, jana ilikuwaf ni hatari kidogo nikimbie pale nilipo lodge na mshina aliyenisumbua kwa muda mrefu sana ,tulipo fika chumbani hali yake niliona ikaanza kubadilika kama mtu mwenye mapepo ! Ndugu kidogo nikimbie lakini kwakuwa alikuwa mzuri nilijikaza nikafanya na ile hali naona ilizidi ninavyo endelea mara anagagalala mikono anarusha huko anaongea manenoambayo siyajuhi eehhh! Nilikomaa baadaye nikaw mshindi .

Eeeeheeee! ilikuwa hatari usiombe ukutane naye unaweza kukimbia kama huna roho ngumu. Baadaye ndo akanimbia hiyo hali yake ndo maana alichukua muda kunikubalia . Huyu msichana ni mzuri na ametusumbua sana wizarani kwetu da!
Ulimfikisha kileleni?
 
Huoni kama na kwenye kichwa chako yashahamia..
 
Jamani, jana ilikuwaf ni hatari kidogo nikimbie pale nilipo lodge na mshina aliyenisumbua kwa muda mrefu sana ,tulipo fika chumbani hali yake niliona ikaanza kubadilika kama mtu mwenye mapepo ! Ndugu kidogo nikimbie lakini kwakuwa alikuwa mzuri nilijikaza nikafanya na ile hali naona ilizidi ninavyo endelea mara anagagalala mikono anarusha huko anaongea manenoambayo siyajuhi eehhh! Nilikomaa baadaye nikaw mshindi .

Eeeeheeee! ilikuwa hatari usiombe ukutane naye unaweza kukimbia kama huna roho ngumu. Baadaye ndo akanimbia hiyo hali yake ndo maana alichukua muda kunikubalia . Huyu msichana ni mzuri na ametusumbua sana wizarani kwetu da!
Hivi kuna wizara yenye kitengo cha ngono?
 
bora we mapepo,nilishawahai kukutana ba mdada mwenye tatizo la moyo nikiwa chuoni,akazimia katikati ya game nikajua ameshakata roho....nilisali kila sala ninayoijua siku hiyo.akazinduka baada ya nusu saa halafu kanataka tuendelee nilikafukuza ka mwizi
 
Back
Top Bottom