aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 7,435
- 20,925
Habari zenu wakuu, niko kitandani hapa nikiwa na masikitiko makubwa sana kwa kulala na mke wa mwana JamiiForum mwenzangu.
Huyu mwanamke nilikutana naye facebook, chanzo hasa mpaka cha kukutana facebook ilikuwa hivi,
Baada ya kuona kuwa na mpenzi hapa mjini ni gharama sana, niliingia facebook na kupost kwenye Group moja kwamba nahitaji mwanamke wa kuwa anakuja kunipa penzi na mimi nitamlipa 20k kwa goli moja, hiyo itakuwa tunakutana kila baada ya wiki 2 au tatu mara moja.
Hapo ndiyo alikuja huyo mwanamke alinitumia ujumbe Inbox huku akijinadi kwamba yeye ni mzuri na ameumbika kwahiyo 20k haitoshi kwake.
Alielezea mambo mengi kuhusu uzuri wake na jinsi alivyoumbika.
Akaniambia kama nahitaji kuwa naye basi nimtumie 250,000/= anadaiwa kodi. Kwakuwa huo uwezo wa kuhonga laki mbili na zaidi sina, nikamwambia nimeshindwa hayo mahusiano.
Kwakuwa alikuwa ameshanipa namba yake na aliniambia anaishi Ubungo, na kuna picha zake kadhaa alituma, kwakweli wakuu ni mwanamke ambaye amejaaliwa tako.
Basi nikawa namsalimia kwa kumtumia sms, maana simu zangu alikuwa hapokei.
Sikuchoka kumtumia sms japo kwa wiki au mwezi mara moja, ikitokea amejibu sms yangu basi ananiomba hela, nilikuwa namtumia maana wakuu ni mwanamke ameumbika yaani nashindwa kuelezea hapa.
Ngoja nifupishe stori, siku moja mida ya mchana alinitumia sms kwamba anakuja geto, niliona maajabu.
Fasta nikasafisha geto na kuweka mazingira sawa, nikaenda Buguruni sheli kumpokea.
Kwakweli ule uzuri wa kwenye picha ulikuwa mara 100 zaidi.
Tukaenda mpaka geto kwangu, alikuja na matunda pale basi akayaandaa tukala wote.
Baada ya kumaliza kula matunda akavua nguo, akanisogelea na mimi akanitupa kitandani akanivua nguo na hatimae mechi ikaanza.
Nimetoa show mbili za kibabe sana siku ile, maana sijawahi kulala na mwanamke aliyeumbika kiasi kile wakuu!
Basi mechi imeisha salama na nikamsindikiza stendi.
Jambo la ajabu baada ya kuachana pale stendi, hakujibu tena sms wala kupokea simu zangu.
Kitu alichoniambia ni kwamba Naishi Uswahilini sana kwahiyo hawezi kuja tena geto, ili arudi tena labda nihame hapa Uswahilini au Twende hotelini.
Mimi kama kawaida sikuchoka, nilikuwa namtumia sms japo kwa wiki au mwezi mara moja. Na yeye kila akijibu sms yangu basi anaomba hela 10k au 20k na nilikuwa nampa wakuu, ni mwanamke ameumbika sana yaani kumpoteza ni kama umepoteza uhai.
Ngoja nifupishe stori wakuu, mida ya jioni leo kanitumia sms kwamba anakuja geto, ila hatokaa sana. Ikabidi nitoke kazini fasta niwahi geto kuweka mazingira sawa.
Nimefika geto natuma sms hajibu, ikabidi nimpigie simu kujua yuko wapi. Tumeongea kidogo tu akakata simu, nikajua kawaida yake, maana sijawahi kuongea naye kwenye simu zaidi ya dakika mbili, nikatuma sms.
Kumbe wakati amekata simu ni mume wake alikuwa amekuja, na alichukua simu kwamba kuna mtu anataka ampigie, sasa wakati simu anayo yeye mimi ndiyo sms zangu zikawa zinaingia.
Basi baada ya kuona kimya nikaachana naye.
Mara ghafla naona namba ngeni inanipigia, kupokea nasikia kama kelele, jamaa akaongea "Kuna dada amepata ajari ya bodaboda hapa maeneo ya External, vipi unamjua?"
Nikamjibu kwamba hebu mpe simu huyo dada niongee naye (Mpaka hapo nikawa najua labda ni matapeli wamenipigia simu)
Jamaa kajibu kwamba dada hawezi kuongea.
Akaniuliza "kwani wewe si muuza kuku?"
Nikamjibu hapana mimi siyo muuza kuku.
Akasema, nimekuta kwenye simu ya mke wangu amekusevu Muuza kuku Buguruni, ajabu naona sms mnawasiliana unamuita mke wako.
Sasa hapo nikawa sielewi elewi. Yule mwanamke alisema hajaolewa, kwamba mume wake waliachana huko Mkoani Geita, sasa hapa imekaa vipi? nikamwambia hebu mpe simu huyo dada niongee naye, nikiwa nimejiandaa kwamba kama ni sauti yake, nijue naisolve vipi hii inshu.
Jamaa hajanisikiliza, kaweka simu pembeni kama dakika 7 kaanza kushusha "kipigo heavy"
Baadae sana jamaa karudi kwenye laini nikamwambia anitumie namba ya huyo mwanamke, akanitumia, kumbe ni namba ya yule mwanamke.
Kwakweli wakuu nikaishiwa pozi.
Kwanini alinificha kwamba ameolewa?
Ikabidi sasa niongee na jamaa kama mwanaume mwenzangu, nikamuomba anipe A to Z kuhusu huyo mwanamke!
Ameongea mengi sana wakuu, ila kwa ufupi ni kwamba;
Huyu ni mke wake,
Wameishi wote kwa miaka zaidi ya 11 sasa,
Jamaa amemuoa huyu mwanamke akiwa na watoto wawili (kila mtoto na baba yake)
Akawachukua hao watoto na huduma zote anatoa yeye 100% miaka yote.
Amezaa naye mtoto mmoja.
Huyu jamaa ni mtu wa safari za muda mrefu, mwezi au miezi nje ya nchi.
Mpaka namaliza kuongea naye amesema anaenda bar akakusanye bamedi wote wa bar nzima wajifungie chumbani alewe na malaya apunguze hasira.
Kwahiyo wakuu naombeni mniombee msamaha kwa jamaa yetu, bila shaka yupo humu na ataona maoni yenu.
Nasema yupo humu maana katumia sana neno mkuu kwenye mazungumzo yetu.
.
Umesoma maelezo yote mkuu? Nilikutana naye mtandaoni, akasema hajaolewa, anaishi mwenyewe mpaka akawa ananiambia nimsaidie kodi ya nyumba. Na mambo mengine mengi kwamba hana mume.
Sasa hapo unanilaumu kwamba nimelala na mke wa mtu?
Isitoshe mume wake mwenyewe baada ya kuzungumza naye kaniambia mimi ni mtu wa tano anakuta mawasiliano ya namna hiyo kwenye simu ya mke wake,
Huwa anampiga nusu kuua lakini haiachi hiyio tabia ya kuwa na wanaaume pindi akienda nje ya nchi
Na bado hamuachi mke wake kwa sababu anasema wamezaa mtoto mmoja na akimuacha mtoto atateseka.
Kwahiyo hapa sioni sababu ya kunilaumu mimi kwamba nimelala na mke wamtu.
Na kama angeniambia ni mke wa mtu nisinge hangaika naye. Niliendele kuhangaika naye kwakuwa alinimbia hajaolewa.