Nimekwisha na UKIMWI

RIP bro
 
Mkuu LUBEBE ulifanikiwa kwenda kupima?
 
WENZIO TUNAO NATUNADUNDA TU!
HAVE COURAGE!
HUFI LEO WALA KESHO!
WOOOOOTE TULIOPO HAPA SINCE TUNAJIHUSISHA NA NGONO NA TENDO LA NDOA,NI WAATHRIKA WATARAJIWA AU TAYARI TUMSHAATHIRIKA!

SO PLS SIO ISSUE KIHIVYO
BADO UNA NAFASI YA KUTIMIZA NDOTO ZAKO VIZURI TU!
SIO WAKATI WA KUTAFUTA PA KUPEELAK LAWAMA!
IMESHATOKEA !
HAKIKISHENI MNAMLEA MTT KWA UHSAURI WA MADAKTARI!
NYIE WENYWE JILINDENI MSIPATE MAAMBUKIZI MAPYA!



NAAAAAAAAAAAAAAAA UNAWEZA UKAPIMA VILE VILE UKAKUTA HUNA!
YOTE YANAWEZEKANA!
 
Bora umeweka wazi kua UNAO,takaywkufuata PM asije kulialia baadae kua hakua anajua hali yako,pole ndugu,pole sana na hongera kwakua courageous,wewe sio kama badhi ya akina dada au akina kaka ambao huficha hali zao nakuishia kuua kila waingiao kwenye anga zao zakungonoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MTU AKIJA PM ANAKUJA KUCHUKUA UKIMWI?
well aina hii ya unyanyapaa ndio inafanya watu wafiche na kusema hawana!
IMAGINE!
 
UNAFIKI NDO UMETUFIKISH

A HAPA WATANZANIA.
SASA we umeongea nini cha ukweli!
MTU AKIWA NA VIRUSI VYA UKIMWI NDO RIP

WEWE UMEPIMA MARA MWISHO LINI?
UMESHIRIKI NGONO LINI?
kwa akili zako unafikiri kwa kuwa WEWE una mpenzi mmoja basi huna VIRUSI!
the only uhakika ulionao ni kuwa WEWE hushiriki na mtu mwingine ngono au tendo la ndoa


SASA NIKWAMBIE A VERY SCARING UKWELI!
huyo UNAYEMWAMINI KAMA MPENZI WAKO MMOJA!
HUYO HUYO NDO ATAKAYEKUAMBUKIZA

VIRUSI VYA UKIMWI HUSAMBAZWA NA WATU TUNAOWAAMINI ZAIDI!
sasa mimi na wewe nani mnafiki mkuu?
 
Bibie naona umeshindwa kumvumilia huyo ndugu yetu lakini inashangaza sana binadamu tumepoteza UTU tumekuwa wabaya zaidi ya wanyama
TUNA TAIFA LENYE UFAHAMU MDOGO SANA JUU YA HUU UGONJWA!
ndo mana maambukizi hayataa yaishe wala kupungua!
 
Kwa jibu lolote utakalopewa, AMUA KUYAKAHIDHI MAISHA YAKO KWA YESU, UUPOKEE WOKOVU AMBAO NDIO UZIMA WA MILELE!

remember:AIDS is a demon!

sent from servant of God

 
Mkuu LUBEBE ulifanikiwa kwenda kupima?
WAKUU NILIENDA KUPIMA NA NIMEKUTWA MZIMA KABISA,NIMEPITA HOSPITAL 3,NILIANZA NA YA MKOA NA PRIVATE 2,KESHO TAMALIZIA 2,NAJUA HAMTOAMINI ILA NDIO UKWELI NA SI UONGO KWA ANAYEAMINI AAMINI NA KWA ASIYEAMINI AENDELEE KUTOKUKUAMINI,NILIJITOA MHANGA KWASABABU SIKUWA NA KWA KUTOKEA,SIKUWAAMBIA KUWA TANGU NIPATE ZILE TAARIFA SIKUWAHI KULA,NJAA NDIO IMENIUMA LEO,NJAA KALI,NATAMANI NINGEKUWA MLEVI HAKIKA LEO NINGETAMBAA,
UAMUZI NILIOUCHUKUA NI KWAMBA HUYU MWANAMKE SITOMUULIZA CHOCHOTE KUHUSIANA NA HILI AS LONG AS MIMI NIPO SALAMA,TAENDELEA KUMHUDUMIA YEYE PAMOJA NA MTOTO HADI ASHANGAE,NA YEYE NAJUA ATABAKIA NA MASWALI MENGI AMBAYO YATAKOSA MAJIBU JUU YANGU,NAWASHUKURUNI WOTE KWA UJUMLA,KWA MLIONIPA MOYO NA UZOEFU WENU NA PIA MLIONOKASHIFU NA KUNICHEKA,NAWAKUMBUSHA TU KUWA HAPA DUNIANI TUPO KWENYE MAPAMBANO,YEYOTE LINAWEZA KUMKUTA LOLOTE WAKATI WOWOTE,KIKUBWA TU NI KWAMBA NIMEJIFUNZA MAMBO MEEENGI SANA MAISHANI KWA WAKATI MFUPI SANA TANGU ILE JUZI HADI LEO,MWISHO NAAHIDI KUHESHIMU TATIZO LA YEYOTE KUANZIA SASA,NA KAMA NITAKUWA NINA MSAADA WA HALI AU MALI NITAJITAHIDI KUUTOA KAMA SHUKRANI YANGU KWA MUNGU NA WANADAMU WAKE,ASANTENI SANA WATANZANIA WENZANGU,NIPO HAPPY SANA KIASI HATA SINA UHAKIKA KAMA NAANDIKA SAWA...
 
hongera sana mkuu mungu ni mwema.ila siku ya kwanza mama kuanza clinic si mlitakiwa mpimwe wote? kwanini hukuenda?. nashauri umpeleke na yeye akapimwe labda hana
 
wamekupima na kipimo gani mkuu?
 
Hongera kwa kupima, pitia link nliyokuwekea utapata mwanga mpya.

Cheers.
 
Ni Jambo la kheri hili mkuu lakini bado linaendelea kuzua maswali lukuki.


Anyway nitachangia mawazo yangu huko mbele, kwa sasa kuna shughuli nafanya kwanza
 
Ndivyo ulivyodanganywa eeh! Haya sawa. Ukikutana na mwenye HIV jamiiana naye, kapime uthibitishe kuwa ni Positive, halafu usitumie hizo ARV. Nakupa miaka 3.
Msidanganywe na wauza 'dawa mbadala' jamani, au hawa sijui 'sanitarium' bullshit! Ukipimwa HIV ukakutwa nayo, tumia ARV's zitakusaidia kusongesha maisha na kupunguza uwezekano wa kuambukiza wengine, hii imetafitiwa kisayansi na ni uhakika. Hadithi nyingine tofauti na hizo peleka kwa Babu wa Loliondo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…