Acha wenge ww, kwani ukikutwa umeathirika hutaishi? Unaweza ukaishi miaka 30 mbele kama utafuata masharti. Onyo, usimnyanyase huyo mwanamke wala mtoto, waleee, na ndoa ufungeNaandika huku hali yangu ya akili ikiwa mbaya sana, mchumba wangu niliyeishi nae kwa miaka mi 3 amejifungua jana kwa upasuaji, na mwezi November mwaka huu ilikuwa tufunge ndoa.
Ndugu jamaa na marafiki wote tushawatangazia na vikao viwili vya ndugu kujiweka sawa vishafanyika, nimeenda leo asubuhi nimekutana na habari tofauti kuwa mke wangu ni MUATHIRIKA na kibaya ni kwamba alizaliwa nao.
Nimemuuliza kwanini hakuwahi kuniambia tangu mwanzoni, anasema na yeye alikuwa hajui, kesho na mimi nataka nikapime kama hospital 5 hivi ili nijue hali yangu, mwenye lolote la busara naomba anishauri na kunipa moyo, hivi inawezekana majibu ya kesho yakaniacha salama kweli?
Kubwa nawakumbusha wote kamwe usirudie kosa nililofanya mimi la kumwamini huyu mwanamke, tayari nimeshafanya kosa naomba nisilaumiwe.
Nishaurini vizuri nifanyaje kwa sasa, bado sijamwambia ndugu wala rafiki yeyote juu ya hili, nasubiri nipime kwanza ili nijue hatima yangu, nikipima nitareta mrejesho kwa litakalokuwa nimelipata huko.
Ahsanteni
Pole sana mkuu , ktk maisha tunakutana na changamoto nyingi sana lkn muhimu nikutambua changamoto hazikuwepo Kwa ajili ya kutumaliza.Naandika huku hali yangu ya akili ikiwa mbaya sana, mchumba wangu niliyeishi nae kwa miaka mi 3 amejifungua jana kwa upasuaji, na mwezi November mwaka huu ilikuwa tufunge ndoa.
Ndugu jamaa na marafiki wote tushawatangazia na vikao viwili vya ndugu kujiweka sawa vishafanyika, nimeenda leo asubuhi nimekutana na habari tofauti kuwa mke wangu ni MUATHIRIKA na kibaya ni kwamba alizaliwa nao.
Nimemuuliza kwanini hakuwahi kuniambia tangu mwanzoni, anasema na yeye alikuwa hajui, kesho na mimi nataka nikapime kama hospital 5 hivi ili nijue hali yangu, mwenye lolote la busara naomba anishauri na kunipa moyo, hivi inawezekana majibu ya kesho yakaniacha salama kweli?
Kubwa nawakumbusha wote kamwe usirudie kosa nililofanya mimi la kumwamini huyu mwanamke, tayari nimeshafanya kosa naomba nisilaumiwe.
Nishaurini vizuri nifanyaje kwa sasa, bado sijamwambia ndugu wala rafiki yeyote juu ya hili, nasubiri nipime kwanza ili nijue hatima yangu, nikipima nitareta mrejesho kwa litakalokuwa nimelipata huko.
Ahsanteni
Mkuu kwa nini unasema una ukimwi? Je vipimo fake hospitali ndo vinakufanya useme una ukimwi?
Je umedhoofu?
Ngoja nikuambie ndugu, Ukimwi upo na unasababishwa na lishe duni tu pamoja na matumizi mabaya ya mwili kama Pombe, ngono nyingi, na baadhi ya dawa za hospitali ukizitumia unapata Ukimwi.
lakini ukimwi hausababishi na kirusi cha HIV kama tulivyoamanishwa. Huyo mkeo hana anaweza kuwa na Ukimwi lakini asiwe na HIV.
Tena nakuonya usijaribu kuanza kutumia ARV ndo utaanza kuugua kweli ukimwi, anza lishe bora na ufuate kanuni za afya ili uepuke mtego wa ARV.
Hizo dawa ni mtego wa kibiashara ya madawa ya Viwanda vya madawa. Chunga sana na ujifunze zaidi kuhusu hiyo kitu.
Jaribu ku google na ujifunze zaidi kuhusu "Aids is a hoax".
Naandika huku hali yangu ya akili ikiwa mbaya sana, mchumba wangu niliyeishi nae kwa miaka mi 3 amejifungua jana kwa upasuaji, na mwezi November mwaka huu ilikuwa tufunge ndoa.