Nimekwisha na UKIMWI

All the best mkuu,,,usisahau mrejeshoo ila naiman hauwez kuwa nao kwa nguvu za maullanaa Inshallah

Ni miMi CHalIIiiii Ya "R"
 
All the best mkuu,,,usisahau mrejeshoo ila naiman hauwez kuwa nao kwa nguvu za maullanaa Inshallah

Ni miMi CHalIIiiii Ya "R"
 
Pole lolote lile bado uhai wako upo kwa miaka uliyopangiwa
 
Mkuu upungufu wa kinga mwilini hauambukizwi kwa kujamiiana. Wengi hapa wametoa ushuhuda kuwa nlkuna kesi zipo mama ana hicho wanchoita HIV baba hana. So usuogope. Kikubwa hata ukipima ukiambiwa una hicho wanacho kiita HIV usitumie ARVs hizi ndo zinasababisha upungufu wa kinga. Pia msongo wako wa mawazo utasababisha kinga kupingua.

sent from my kimobitel
 
poleee sana kaka ,,
Aaah actually ni kwelly inawezakana mtu akazaliwa na ukimwi ,lakin lazima alie mzaa alikua tayar na maambukiz xo cijui wew umefaham vip km alizaliwa nao?make ujaxema history yoyote kuonexha namna gan alizaliwa nao ,,
Hoja ya msing ni kiini cha !message ako ,,labda niku nasihi kuwa inawezekana ukaixh na mwenye maambukiz usipate maambukiz ingawa watu hao ni wachache ,labda km umo miongoni ,hatujui ,,
pia inawezekan ukawa na maambukiz kwan ni muda mrefu sas umeixh nae ,,
mengineyo ; jitaidin mtoto huyo alie zaliwa asipate maambukiz ingawa uwezekano wa kuwa na maambukiz tayar ni mkubwa kwan mama yake hakuwa kwenye dawa ""
pia km utakua na maambukiz usijal xana kwn inawezekan kuixh na maambukiz miaka yote ila kwa kutumia dawa na kufuata masharti utakayo elekezwa na watoa huduma ,
@ counsellor,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huu si mwisho wa maisha yako Bali ni mwanzo wa maisha mapya. Kupata vvu haimaanishi ni mwisho wa maisha yako na kutopata haimaanishi Upo Salama.

Hivyo ukiwa navyo au laa ni mwanzo wa maisha mapya. Pia kufanya mapenzi na mtu ambaye tayari ni muathirika haimaanishi kuwa nawe utakuwa umeathirika Labda kama ulipenda kufanya mapenzi akiwa mkavu au bila maandalizi.

Vijana wengi wanapata maambukizi kwa kutaka k kavu wakati ni hatarishi.

Lakini pia unataka unambie tangu ujauzito hadi kujifungua huyo Dada hakuwahi pimwa kujua afya yake kumqepusha Mtoto na maambukizi? Kwa hspt zetu hususani clinic ni ngumu kuyopima kuangalia maambukizi.

Mwisho UKIMWI sio kifo,ukikutwa nao ishi kwa kufuata kanuni na taratibu zote utaishi hadi miaka yako ulopangiwa na Mwenyezi Mungu ifike. Jiamini

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Umenena ila tatizo fxxxxbk
 
Mkuu
Ulikuwa nae kama mpenz ni mda gani sasa

IQ standard
 
Oooh. .Kwa dunia ya Wakati huu wala usiogope. .Hata marafiki ulio nao baadhi Wanao..Kapime..Endelea kuishi Mkuu

Kikokotoo!
 
Kwa jibu lolote utakalopewa, AMUA KUYAKAHIDHI MAISHA YAKO KWA YESU, UUPOKEE WOKOVU AMBAO NDIO UZIMA WA MILELE!

remember:AIDS is a demon!

sent from servant of God


Wewe umechanganyikiwa na maisha. Demon anapimwa kwenye Elisa test?
 
Picha Mkuu ya Majibu .....na muhuri wa Hospital uonekane ........Nawasilisha [emoji135]

Fursa2017
 
Yaani umeishi na mwanamke miaka mitatu, huyo mwanamke alizaliwa na HIV , ameshika mimba hadi kujifungua but hukuwa unajua kuwa ni muathirika! Inamaana wakati anaanza clinic hamkuwa wote maana pale kupima ni must whrather you like it or not.

Kupima mkojo na uchochezi wapi na wapi??
 
Tulia kwanza kaa ata mwezi akili ikitulia ndo ukapime acha ujinga wa kukurupuka ukimwi upo tu ata asingekua uyo unaweza kupata ata kwa njia nyingine, kuwa mpole usifikiri unao peke yako wala usimuhukumu uyo mchumba wako coz ulipowekwa mtego wa ukimwi ata wanaoitwa mababa na mama wa dunia wanakosea unafikiri ungeenezwa na mbu nani angeupatA???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…