Nimekwama, naomba mnipige tough wana JF

Nimekwama, naomba mnipige tough wana JF

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
Salamu kwa wote, nimekwama, nina vifaa vyangu naviuza, kama uko vizuri au unaweza kukopa sehemu uvichukue. najua

vitakusaidia sana kufungulia ofc yako rasm.!

Nauza vifaa vyangu vya uganga "tunguli,vibuyu,nyungo,vyungu,mkia wa kenge,takko la Nyani,fuvu la binadamu, viungo

vya albino, ngozi ya fisi na kucha za paka.Bei maelewano nijulishe maana nadaiwa kodi ya nyumba! Fanya hivyo bhana

WEWE SIFA ZA UGANGA UNAZO, pia Wana Jf wengi ni wajanja

Source Bujibuji
 
Albino tena?!!duh kesi nje nje

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Mmmmh naogopa kuozea jela.
 
Nilivyoanza kuisoma nikajua mdau kumbe ni mjasilia mali! ...kumbe!
 
Njoo nyumba ya mawe uombewe ukitoka huko kila ukinuanyua unyayo dola mia zinatoka so we kazi yako ni kuokota tuu.
 
Nauza vifaa vyangu vya uganga "tunguli,vibuyu,nyungo,vyungu,mkia wa kenge,takko la Nyani,fuvu la binadamu, viungo vya albino, ngozi ya fisi na kucha za paka.Bei maelewano Source Bujibuji

nanga.jpg
 
ha ha ha nlivoanza kusoma nikajua dektop, furnitures kumbe.....teh teh!!!!!!!!
 
mkuu Dotworld......heshima kwako......
naomba kushare na wewe maktaba yako ya picha.......

wako mtiifu......
Mkhutubi Preta.......
 
Last edited by a moderator:
mkuu Dotworld......heshima kwako......
naomba kushare na wewe maktaba yako ya picha.......

wako mtiifu......
Mkhutubi Preta.......
"Mkhutubi" Preta

Rejea kichwa cha habari hapo juu.

Ninayo furaha kukufahamisha kuwa ombi lako la kushare Maktaba yangu ya picha limepita bila ya masharti yoyote!. Hivyo baada ya muda kidogo utatumiwa password ya namna ya ku-access picha mbalimbali zenye matukio tofauti tofauti.

Ni mategemeo yangu kuwa access hiyo itakuwezesha kuweza kuwakilisha ujumbe hapa JF kwa njia ya picha kwa uzuri kabisa.

Nakutakia mafanikio mema katika jukumu lako hili jipya,

Teh! teh! teh! .... Wako katika ujenzi wa kipicha zaidi JF.

Dotworld
 
Salamu kwa wote, nimekwama, nina vifaa vyangu naviuza, kama uko vizuri au unaweza kukopa sehemu uvichukue. najua

vitakusaidia sana kufungulia ofc yako rasm.!

Nauza vifaa vyangu vya uganga "tunguli,vibuyu,nyungo,vyungu,mkia wa kenge,takko la Nyani,fuvu la binadamu, viungo

vya albino, ngozi ya fisi na kucha za paka.Bei maelewano nijulishe maana nadaiwa kodi ya nyumba! Fanya hivyo bhana

WEWE SIFA ZA UGANGA UNAZO, pia Wana Jf wengi ni wajanja

Source Bujibuji

Mimi nahitaji kinyesi kibichi cha papa aliyehai....unacho?
 
Dah! Boflo jamani mpaka nimepaliwa mwendhio! Hahahahahahahaaa! Sasa ujuzi wa kutumia hvyo vifaa ntaupata wapi?
 
Last edited by a moderator:
Hivi yule alieniloga njia panda ni mandieta ama Mapolomoko? Paw mpenzi, naomba tumnunulie vifaa hivyo ili atuloge tuzidi kupendana sawasawa hadi wakome. Ukiniruhusu nitamwandikia boflo cheque
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom