Sichezi tena na wewe......
Salamu kwa wote, nimekwama, nina vifaa vyangu naviuza, kama uko vizuri au unaweza kukopa sehemu uvichukue. najua
vitakusaidia sana kufungulia ofc yako rasm.!
Nauza vifaa vyangu vya uganga "tunguli,vibuyu,nyungo,vyungu,mkia wa kenge,takko la Nyani,fuvu la binadamu, viungo
vya albino, ngozi ya fisi na kucha za paka.Bei maelewano nijulishe maana nadaiwa kodi ya nyumba! Fanya hivyo bhana
WEWE SIFA ZA UGANGA UNAZO, pia Wana Jf wengi ni wajanja
Source Bujibuji
St. Paka Mweusi hivyo ni vichache katika vingi.......,Ningemsaidia ila naona kama havijakamilika,mbona sijaona pua ya Fisi,na K ya njiwa aliyeachika...