Nimekuwa nikisema humu CDM ni CCM blakini hamsiki!!

Sasa umeandika nini. Hivi huyo supervisor hapo kibaruani hayupo?
 
Huwa nashangaa sana kama bado kuna watu wanaota ndoto ya mchana kwamba siku moja CHADEMA itachukua madaraka.

Hata Mbowe anafahamu hilo yupo pale kuhakikisha anapambania ruzuku kidogo maisha yaende.

CHADEMA, CCM wote vibaka tu.
 
Dogo hata Hamas ni wezi. Msaada unaopitia taifa teule kwa wapalestina wenyewe wanaiba.
 
Back
Top Bottom