min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,523
- 128,079
Nakuelewa sana tu , ndio maana napambana na wewe uelewe upande mwingine wa shiling.We umenielewa?
Nakuelewa sana tu , ndio maana napambana na wewe uelewe upande mwingine wa shiling.We umenielewa?
Basi tumeelewana, njoo na Evelyn SaltNakuelewa sana tu , ndio maana napambana na wewe uelewe upande mwingine wa shiling.
Hahaha , nipo nae hapa na hatuji master.Basi tumeelewana, njoo na Evelyn Salt
Mmeogopa niniuu😂Hahaha , nipo nae hapa na hatuji master.
Hakuna kuogopa mkuu, nikiwa nae huyo mtoto ,tunalewa fresh tu mkali.Mmeogopa niniuu😂
Una akili kubwa mkali.Ukiona mtu anakwambia 'sio watu wote wanakupenda, ujue na yeye ana vichuki fulani hivi ambavyo anajitahidi kuvificha'
Mimi nimeachana na watu wengi sana walionitamkia hayo maneno.
Sijasomea saikolojia ila nina hisia za kinyamwezi. Naweza msoma mtu kabla hatujawa maadui.
Hongera sana. Hongera kwa njemba mwenzetu kwa kukupa haki yako. Umekamilika mrembo.Hamjambo?
Kiukweli sina hata la kusema ndugu zangu..ila mungu awabariki mama zetu aisee dah am speechless kwakweli
Nashukuru Allah nilijifungua salama usiku wa kuamkia ijumaa na sasa nimekuwa mama!
Ni hayo tu
View attachment 3295688
Karibu...Asante smart
Heeee ndo maana unaogopa kujulikana kumbe!!!! Hiyo condom utaitumia kama glass au tissue ya kufutia glass ya bia???Basi usisahau Kondom.
Anazingua tu huyo broHeeee ndo maana unaogopa kujulikana kumbe!!!! Hiyo condom utaitumia kama glass au tissue ya kufutia glass ya bia???
Kabisa....Anazingua tu huyo bro
Yes kawaida saaana hasa Mungu akijujalia ukajifungua kawaida, huo sio ugonjwa hata ingekuwa operation ushatoka cha muhimu ni kula na kunyonyesha mtoto akueEeh....???????