Nimekuwa mama

Nimekuwa mama

Hamjambo?
Kiukweli sina hata la kusema ndugu zangu..ila mungu awabariki mama zetu aisee dah am speechless kwakweli
Nashukuru Allah nilijifungua salama usiku wa kuamkia ijumaa na sasa nimekuwa mama!
Ni hayo tu

View attachment 3295688
Hongera,bora umetuongezea kidume mwenzetu mana hizi pisi nyingi kuzidi aje atusaidie kuzigawana.
 
Kwani kuna ubaya gani jamani mbona watu mnachukulia mambo siriaz sana......
Sio sawa, kuna Mambo Public, Private and Secret issues. Mambo ya kifamilia ni Private ndo maana wengi mnaishia njian sababu ya kuexpose kila kitu. Watu hawapend kukuona unasonga punguzeni midomo mitandaoni.
Tupige story tucheke, tujadil siasa na mipira, tutaniane tuombane ushauri ila mambo unayoweza kukaa nayo na usipungukiwe basi kaa nayo.
 
Yani mtu sikujui haunijui itaathiri vipi mkuu? Mimi naona mtu afanye kile anacho ona ni sahihi bila kujibanabana ,kama hakina madhara kwa wengine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom