Kabisa sasa ndio umekua mwanamke wa shoka👏Hakika japo haikuwa rahisi
Ni vile unauchukulia wewe tu, uzazi jambo la kawaida sana mshukuru Mungu kwa kukupa mtoto. HongeraAsante. Kwa hakika uzazi sio mwepesi
Safii!Shukrani sana
Itabid tuongeze mashamba mengine makubwa tulime😁
Hongera sana na karibu kwenye chama la wamama😍Hamjambo?
Kiukweli sina hata la kusema ndugu zangu..ila mungu awabariki mama zetu aisee dah am speechless kwakweli
Nashukuru Allah nilijifungua salama usiku wa kuamkia ijumaa na sasa nimekuwa mama!
Ni hayo tu
View attachment 3295688
😁😁Mkali kanaonekana katakuja kuwa ka mwamba ,kama kakichewa kufika dar lakini 🤔
Nmekuuliza kwenye ile ID yako uko maternity?? Kumbe nlikua sawa.....ni muda saaa nifungue kanisaHamjambo?
Kiukweli sina hata la kusema ndugu zangu..ila mungu awabariki mama zetu aisee dah am speechless kwakweli
Nashukuru Allah nilijifungua salama usiku wa kuamkia ijumaa na sasa nimekuwa mama!
Ni hayo tu
View attachment 3295688
Hongera zako mkuu...Hamjambo?