secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 15,301
- 28,525
Kwa kweli ukiniona furaha niliyonayo unaweza kusema Mimi ndiye baba wa mtoto.
Ukiniambia kwanini wewe hufanyi kama wao, hilo ndo jibu la maswali yako yote.Ina athiri vipi mkuu? Tena kwa hizi fake I'd?
Unajua kila mtu anamachaguo yake? Haimaanishi kama mimi ambae sifanyi wao wanaofanya ni mbaya🤔Ukiniambia kwanini wewe hufanyi kama wao, hilo ndo jibu la maswali yako yote.
Hongera sanaHamjambo?
Kiukweli sina hata la kusema ndugu zangu..ila mungu awabariki mama zetu aisee dah am speechless kwakweli
Nashukuru Allah nilijifungua salama usiku wa kuamkia ijumaa na sasa nimekuwa mama!
Ni hayo tu
View attachment 3295688
Kuna kaujinga kamejificha katika neno machaguo, hako ndo waliko nako wao ambako wewe huna.Unajua kila mtu anamachaguo yake? Haimaanishi kama mimi ambae sifanyi wao wanaofanya ni mbaya🤔
Sasa mkuu yeye kusema amekua mama ndo ushamjua??? Halafu kwani kumjua ye ni bi aisha wa nmb kuna shida gani??Sio sawa, kuna Mambo Public, Private and Secret issues. Mambo ya kifamilia ni Private ndo maana wengi mnaishia njian sababu ya kuexpose kila kitu. Watu hawapend kukuona unasonga punguzeni midomo mitandaoni.
Tupige story tucheke, tujadil siasa na mipira, tutaniane tuombane ushauri ila mambo unayoweza kukaa nayo na usipungukiwe basi kaa nayo.
Huyu namjua sana kupitia haya haya mabandiko yake ya kujimaliza. Si akili hii.Sasa mkuu yeye kusema amekua mama ndo ushamjua??? Halafu kwani kumjua ye ni bi aisha wa nmb kuna shida gani??
Utashindwaje kujua. Hujaona keki?Sasa tutajuaje ni kweli?
Kuna mambo humu muda mwingine yanafikirisha.
Sa ulivomjua kuna shida gani jamani?? Kwani we tukikujua kuna shida???Huyu namjua sana kupitia haya haya mabandiko yake ya kujimaliza. Si akili hii.
Nimemaliza.
Manufaa ni kuwa sasa anajisikia vizuri kutufahamisha marafiki zake kuwa kuna mtanzania mwingine kaongezeka, hata mimi nimefurahi kwa ajili yake mkuu, hii ni bora kuliko kupangiana nini cha kufanya kwenye maisha ya mtu binafsi, hiyo haina afya kiongozi.Kuna kaujinga kamejificha katika neno machaguo, hako ndo waliko nako wao ambako wewe huna.
Huwez kuwa unakuja kumwaga Documentary ya Progress yako jamvini hatua kwa hatua bila manufaa yoyote.
Sawa.Sa ulivomjua kuna shida gani jamani?? Kwani we tukikujua kuna shida???
Hebu tuonane tuongee kwa kirefu huku tunakunywa hata vi kilimanjaro.
Sawa.Manufaa ni kuwa sasa anajisikia vizuri kutufahamisha marafiki zake kuwa kuna mtanzania mwingine kaongezeka, hata mimi nimefurahi kwa ajili yake mkuu, hii ni bora kuliko kupangiana nini cha kufanya kwenye maisha ya mtu binafsi, hiyo haina afya kiongozi.
Sio sawa tu mkuu! Nataka ujibu kama umeelewa au bado una duku duku master?Sawa.
Sawa fupi sana bro tunaenda kunywa bia??? Au next timeSawa.
We umenielewa?Sio sawa tu mkuu! Nataka ujibu kama umeelewa au bado una duku duku master?
Basi usisahau Kondom.Sawa fupi sana bro tunaenda kunywa bia??? Au next time
Pesa nnayo hapa kwenye mfuko wa shati