nimekuwa hurted mara ya pili

kisa ni hi my face boyfrn aliniumza tukiwa mwaka wa tatu mm niko moshi yeye yupo udsm,na niligundua baada ya huyo dada kunipigia nakuniambia kinachoendelea,tukaanza kukata mawasiliano,then 2kaachana kabisa ,nikaka kama mwk hivi nikapata kaka mwingine km mnavyokumbuka nilishaomba ushauri kuwa MPENZI WA ZAMANI ANAJIRUDI! wakati nime accept proposal kwa mtumwingine xboy akajirudi nikakataa coz nilikuwa na mtu mwingine ,cuurent boy alionesha nia akiniambia atakuja hom kujitambulisha, kumbe kaka mwenyewe baada ya kukaa kama miezi sita nikagundua kuwa alishamvisha m2 pete ivyo anasubiria harusi 2! iyo ndio situation

Vipi AIDS - umepima? Au unataka kuwa sehemu ya takwimu?
 
Pole mwaya mshukuru mungu kwa hilo,
Huwezi jua mungu anakuepusha na nn,
Na ujue ni lzm uumizwe ili ijue makosa yako upate mda wa kujirekebisha na kujijua thaman ya mapnz pia,
Tuliza akili kwa sasa,mwombe mungu akukutanishe na aliye wako.

je wewe canta ulishawahi kuwa hurted au bado?
 
na kwanini unainvest kwa mchumba mmoja? matokeo yake ndo hayo siku akiondoka unabaki kulia ngoja nikupm jinsi ya kuishi na hawa viumbe mtoto

Smile ukimfundisha ndo atazidi kuumia kadri siku zinavyozidi wanaume tunabadili style za kuwa na nyinyi yaani hapo itakuwa kazi bure
 
Jamani mapenzi yananitatiza eeh, jamani mapenzi yananitaziza eeh, kulala siwezi, kusema siwezi, chakula sitaki na kiona sumu, jamani mapenzii...............eeh!

Pole mdada, ndo mapenzi hayo lazima ulie, ck nyingine ushindwe kula, siku zingine ukeshe unaangalia dali huku mto unalowa kwa machozi, siku nyingine unacheeeka unasahau shida zote zilizoko duniani, unajiona wewe ndo kila kitu. Mapenzi? we acha bwana
 
na kwanini unainvest kwa mchumba mmoja? matokeo yake ndo hayo siku akiondoka unabaki kulia ngoja nikupm jinsi ya kuishi na hawa viumbe mtoto

nipm na mm mamie plzzz..............nadhan ninauhitaj na ilo pia.
 
kisa ni hi my face boyfrn aliniumza tukiwa mwaka wa tatu mm niko moshi yeye yupo udsm,na niligundua baada ya huyo dada kunipigia nakuniambia kinachoendelea,tukaanza kukata mawasiliano,then 2kaachana kabisa ,nikaka kama mwk hivi nikapata kaka mwingine km mnavyokumbuka nilishaomba ushauri kuwa MPENZI WA ZAMANI ANAJIRUDI! wakati nime accept proposal kwa mtumwingine xboy akajirudi nikakataa coz nilikuwa na mtu mwingine ,cuurent boy alionesha nia akiniambia atakuja hom kujitambulisha, kumbe kaka mwenyewe baada ya kukaa kama miezi sita nikagundua kuwa alishamvisha m2 pete ivyo anasubiria harusi 2! iyo ndio situation

Nimesoma mara kumi sijaelewa kabisa muandike lugha inayoeleweka sie wazee hatuelewi. Lakini pole japokuwa sijaelewa nimeona tu watu wanakupa pole namimi ngoja nijiunge nao
 
habarini wana jf, jamani mwenzenu nimekuwa hurted hii ni mara ya pili uchungu ninaoputa ni kama kidonda nisaidieni nifanyaje?

Kwa nn usimpige chini tu kwa nini ung'ang'anie jitu lisilo kupenda?
 
Back
Top Bottom