nimekuwa hurted mara ya pili

nyie acheni kuzungusha ka nineno la kiswahili tafuta kamusi km ni la kiigereza dictionay bu i hop ujumbe mmeupata!
 
nyie acheni kuzungusha ka nineno la kiswahili tafuta kamusi km ni la kiigereza dictionay bu i hop ujumbe mmeupata!

Kwa hiyo unatulazimisha tuelewe wkt wewe ndiye unae umia utajibeba
 
na kwanini unainvest kwa mchumba mmoja? matokeo yake ndo hayo siku akiondoka unabaki kulia ngoja nikupm jinsi ya kuishi na hawa viumbe mtoto

Hahahaha....Mod rudisheni LIKE na THANKS kwenye mobile version bwana! Nimeipenda hiyo.
 
Welcome to the club....get used to it, dust off and try again. I have been hurt many times to extent I am out of repairs.:eyebrows::eyebrows:

Dah! Umebaki scraper watu wanauza vyuma chakavu au ndio gari bovu la kufundishia mafundi wapya??
 
Una haraka au unahasira???? Punguza munkari bidada humu ukipandisha mzuka yatakushinda

Bado analia....! Loreen, ukimaliza kulia futa machozi, kapenkhee na makamasi, nawa uso ujifute vizuriiii, ndio uje hapa ueleze vizuri ili tumchape huyo aliyekutenda!
 
na kwanini unainvest kwa mchumba mmoja? matokeo yake ndo hayo siku akiondoka unabaki kulia ngoja nikupm jinsi ya kuishi na hawa viumbe mtoto
jamani mwacheni Smile aitwe Smile,kichwa chake anakijua mwenyewe,du!

na kwanini unainvest kwa mchumba mmoja? matokeo yake ndo hayo siku akiondoka unabaki kulia ngoja nikupm jinsi ya kuishi na hawa viumbe mtoto
kumbe huwa mnaita kuinvest eeeeh!
plz smile cn u invest in me also... ni pm basi .:eyebrows::eyebrows::eyebrows:
 
Back
Top Bottom