Kwanza Unaonekana We Ni Malaya Sana, Unawezaje Kuwanunulia Bia Wasichana Tena Umeonana Nao Muda Huo Huo Tena Bila Kuombwa? Pili Unawezaje Kukubali Wakusindikize Hadi Unapolala Kama Hukuwa Na Mpango Wa Kuondoka Na Mmoja Wao? Tatu, Je Kama Wangekuwa Ni Chabo Ya Majambazi Wamewatumia Wasichana Hao Ili Wakupeleleze Kisha Wanaume Waje Hadi Chumba Cha Hoteli Uliyofikia Ungesema Wamejuaje Chumba Chako? Kumbe Wakati Mwingine Kuibiwa Huwa Mnajitakia.Na Laiti Ungekuwa Mfanyakazi Wangu Leo Ulikuwa Huna Kazi Kwa Kuhatarisha Nyaraka Na Pesa Za Ofisi.
Allowance mnawapa nyingi sasa zinakosa matumizi .... wanajikuta kufanya ufuska tu
Hivi kuna sehemu amesema anawataka? Msipokarinishwa mnasema wanaume wengine wachoyo,mkipewa 'wanaumw wengine fuska'
Ngoja pombe zikuishe utakuja kugundua kumbe hata moshi hukuenda upo kwenu makabe kwenye baa ya kaka yako masawe na umelala hapohapo na watu washakula kiboga
Wanawake wa moshi na arusha janja janja sana, hawagawi papuna ovyo. Hao waliingia mtini tu ili usiwagande. Relax!
Allowance mnawapa nyingi sasa zinakosa matumizi .... wanajikuta kufanya ufuska tu
Nipo mkoa wa Kilimanjaro kikazi, Idi imenikuta huku, nikasema nipate moja baridi bar ya jirani na hoteli nilipofika, nilikua mwenyewe kwenye Meza,Mara wakaja warembo wawili kukaa kwenye Meza yangu, mda ulivyozidi kwenda tukazidi zoeana, kama mtanashati nikawaagizia vinywaji, kwakua nilikua nimechoka Sana na kazi kwa siku ya Leo basi ilipofika saa nne nikawaaga kuwa nakwenda kupumzika, kuona hivyo wakaniambia kwamba kwakua Mimi Ni mgeni basi watanisindikiza mpaka nilipofika ili wanilinde, wakuu tulipofika barabara kuu nageuka sioni wale mabinti nilio kua nao, Nimeingia woga mpaka muda huu, ukizingatia kazi iliyonileta hapa Ni ya Siku 9 na hii Ni ya 3,