Nimekutana na matapeli leo asubuhi

Nimekutana na matapeli leo asubuhi

Mpaka wamekufata ujue una muonekano wa kiboya, alafu hakuna cha dawa wala nini tamaa zako ndo zinafanya utapeliwe!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Nimekutana na wale matapeli wa pesa wakadhania wataniibia kumbe mimi mtoto wa mjini yaani nimezaliwa Moshi mjini nikasoma mpaka advance nkaja Dar Chuo na ni mtu ambaye ni mtundu sana wa mitandao ya kijamii

Scenario ipo hivi,

Nlikuwa nimesimama kituo cha daladala Magomeni Mwembechai ile sehemu wanapaita kanisani maana kuna kanisa nadhani ni la wasabato, akaja mzee akaniuliza Posta ferry ni wapo nikamwambia panda daladala za posta kabla sijamaliza Akaja mtu wa pili akaanza kumwambia huyu mzeee kwanini usipande mwendokasi Mara mzee akatoa pochi ina dollar kwa juu i guess ni feki pia akaanza kuniambia anataka kuexchange zipo Dollar 3000.

Mimi nimesoma stories nyingi mtandaoni najua kabisa nikiwa naongea na mtu ambaye simjui naavoid anishike mkono au Bega maana wanatumiaga dawa anavyokushika ana kupossess anakuibia sasa Baada ya yule mzeee kutoa hizo dollar akatwambia tumuonyeshe sehemu pakuexchange atatupa laki mbili na hamsini kila mmoja nkasema oyaaa.

Mara yule jamaaa aliyetukuta akasemaje hata Sheli wanaexchange na ukiangalia hivi kuna sheli mbele yetu, mzee akanisisitiza nsimuache ananiamini, lakini kichwani kitu kinaniambia siunajua kuna matapeli eeeee nkasema wacha niwaangalie watafika wapi. Basi tukaenda pale sheli...

Eti tumefika jamaaa akajifanya anapiga simu akamuuliza jamaaa wa kwenye simu upo Wap jamaaa akamwambia nipo hapa, tukakutana na huyo mtu wa pili akiwa kwenye Gari huyo ambaye alipigiwa simu, akaniuliza naitwa nani nkamwambia naitwa XXX nina ukoo wa kichaga.

Jamaa akatwambia tuingie kwenye gari twende Sinza tukaexchange nikamwambiaje, Sinza mbona Mbali Kuna bureau exchange hapo Cha Manzese akasema tupande gari basi nikapanda nikasema sikai mbele Hivyo kwenye gari tuwaka watu wanne.

Mara jamaa mwenye gari akashuka akaniambia njoo nje tuongeeee Nkatoka nae tukawa kwa nyuma akanifata akaniambiaje hizi hela nimewaambia ukiexchange ni milion 7 na laki tano ila ni milion 7 na laki sita kwa hyo Tutagawana hyo laki moja Siunajua udalali tena[emoji2][emoji2]

Nikamwambia sawa Nikaavoid yeye kunipa Mkono tukarudi kwenye gari safari ikaanza...

Sasa kwenye gari nyuma nimekaaa mimi na mzee, mzee akaanza kunihadisia kuwa ana mtoto wake wa kike aliyepo Oman ndo Kampa hizo pesa, anaongea huku anatetemeka kiukweli na kuniambia kijana wangu wewe ndo nakuamini hapa, mimi nipo makini muda huo.

Mara tumefika Manzese wakawa wote wawili wananisisitiza kwanza nishike hizo hela za mzeee lakini mzee anasemaje hawaamini hawa watu wa mbele hivyo Tumuachie pesa zetu laki mbili mbili hili zifike milion atugaie dollar zake then niingie kwenye bureau exchange mimi na dereva... Wale wawili wakasema wanazo so ikawa bado mimi [emoji23]

Huku Mzee wananisisitiza wewe kwenye account milion ngap ili mnipe milion mbili halafu niwape hizi dollar maana siwez kutoa tu bila kupewa chakushika... Mimi nikamwambiaje kwenye benki sina hata mia.

Kwahyo hela yake ikiingia haitakutana na hela nyingi maana walianza kusema kwamba pesa zikitolewa niwekewe kwenye account yangu ili Mzee asiibiwe...

Mimi ikawa siongei nkawaambiaje lakini hapo Tiptop ili nitoe hela niwape si wakapaki, eti wakawa wananiambiaje pokea pesa zile dollar nkawaambia wacha Mzee azishike...

Nikashuka Nkaanza kucheka nkawaambia wajaribu kwa wengine wakasepa Zao nikaenda chuo

Funzo:
Ukikutana na mtu humjui usimpe Mkono, Kama ni usiku usiongee na mtu humjui Wanatumia Dawa kuibiwa watu, especially anavyoongea na wewe huku anakushika shika mabega anakupoteza unaibiwa kila kitu nina Marafiki na ndugu in ameibiwa kwa hivi halafu pia tusiwe na tamaa na pesa za watu au pesa ya kirahisi.
Hata hivyo uliwapa ushirikiano sana,yaani mpaka unaingia kwenye gari kuzunguka nao,hiyo Mimi noo
 
Nilipanda gari kwa sababu ya kuingiwa na huruma ya huyo mzee nlihisi yeye ndo anatapeliwa ni mzee wa umri kama 60-70 halafu anaileta tetemeka ya Wazee , ila pia nliona ni mchana halafu nliona ninawamudu .

😂😂😂
Nilidhani uliingia ili ukawatapeli wewe kumbe kwaajili ya huruma.
Matapeli wote hucheza na hisia zako zaidi. Na hapa wakishafanikiwa.

Kiakili walishakutapeli. Sema hukuwa na hizo pesa
 
Mimi ata aje boya yoyote simjui ajaribu kuniongelesha mjini huwa si msikilizi kabsa
 
Umenikumbusha kitambo kidogo kina mzee alinifata nilikuwa barabarani anatafuta sehemu ya kuuzia madini 😂
 
Unabahati sana hapo mbele kwa dereva ulipo kaa mtu wa nyuma ange kufunika leso puani kwishaa habari yako usichezee moto eti watu huwajui unapanda gari Yao nahisi kunavitu umeficha mkuu mwisho wa story mara umekaa na Babu mwanzo umekaa na dereva mkashuka namashaka na ulipoishia aisee pole mkuu sikunyingine hata salamu usijibu fanya yako daslam Ina wenyewe.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Nimekutana na wale matapeli wa pesa wakadhania wataniibia kumbe mimi mtoto wa mjini yaani nimezaliwa Moshi mjini nikasoma mpaka advance nkaja Dar Chuo na ni mtu ambaye ni mtundu sana wa mitandao ya kijamii

Scenario ipo hivi,

Nlikuwa nimesimama kituo cha daladala Magomeni Mwembechai ile sehemu wanapaita kanisani maana kuna kanisa nadhani ni la wasabato, akaja mzee akaniuliza Posta ferry ni wapo nikamwambia panda daladala za posta kabla sijamaliza Akaja mtu wa pili akaanza kumwambia huyu mzeee kwanini usipande mwendokasi Mara mzee akatoa pochi ina dollar kwa juu i guess ni feki pia akaanza kuniambia anataka kuexchange zipo Dollar 3000.

Mimi nimesoma stories nyingi mtandaoni najua kabisa nikiwa naongea na mtu ambaye simjui naavoid anishike mkono au Bega maana wanatumiaga dawa anavyokushika ana kupossess anakuibia sasa Baada ya yule mzeee kutoa hizo dollar akatwambia tumuonyeshe sehemu pakuexchange atatupa laki mbili na hamsini kila mmoja nkasema oyaaa.

Mara yule jamaaa aliyetukuta akasemaje hata Sheli wanaexchange na ukiangalia hivi kuna sheli mbele yetu, mzee akanisisitiza nsimuache ananiamini, lakini kichwani kitu kinaniambia siunajua kuna matapeli eeeee nkasema wacha niwaangalie watafika wapi. Basi tukaenda pale sheli...

Eti tumefika jamaaa akajifanya anapiga simu akamuuliza jamaaa wa kwenye simu upo Wap jamaaa akamwambia nipo hapa, tukakutana na huyo mtu wa pili akiwa kwenye Gari huyo ambaye alipigiwa simu, akaniuliza naitwa nani nkamwambia naitwa XXX nina ukoo wa kichaga.

Jamaa akatwambia tuingie kwenye gari twende Sinza tukaexchange nikamwambiaje, Sinza mbona Mbali Kuna bureau exchange hapo Cha Manzese akasema tupande gari basi nikapanda nikasema sikai mbele Hivyo kwenye gari tuwaka watu wanne.

Mara jamaa mwenye gari akashuka akaniambia njoo nje tuongeeee Nkatoka nae tukawa kwa nyuma akanifata akaniambiaje hizi hela nimewaambia ukiexchange ni milion 7 na laki tano ila ni milion 7 na laki sita kwa hyo Tutagawana hyo laki moja Siunajua udalali tena[emoji2][emoji2]

Nikamwambia sawa Nikaavoid yeye kunipa Mkono tukarudi kwenye gari safari ikaanza...

Sasa kwenye gari nyuma nimekaaa mimi na mzee, mzee akaanza kunihadisia kuwa ana mtoto wake wa kike aliyepo Oman ndo Kampa hizo pesa, anaongea huku anatetemeka kiukweli na kuniambia kijana wangu wewe ndo nakuamini hapa, mimi nipo makini muda huo.

Mara tumefika Manzese wakawa wote wawili wananisisitiza kwanza nishike hizo hela za mzeee lakini mzee anasemaje hawaamini hawa watu wa mbele hivyo Tumuachie pesa zetu laki mbili mbili hili zifike milion atugaie dollar zake then niingie kwenye bureau exchange mimi na dereva... Wale wawili wakasema wanazo so ikawa bado mimi [emoji23]

Huku Mzee wananisisitiza wewe kwenye account milion ngap ili mnipe milion mbili halafu niwape hizi dollar maana siwez kutoa tu bila kupewa chakushika... Mimi nikamwambiaje kwenye benki sina hata mia.

Kwahyo hela yake ikiingia haitakutana na hela nyingi maana walianza kusema kwamba pesa zikitolewa niwekewe kwenye account yangu ili Mzee asiibiwe...

Mimi ikawa siongei nkawaambiaje lakini hapo Tiptop ili nitoe hela niwape si wakapaki, eti wakawa wananiambiaje pokea pesa zile dollar nkawaambia wacha Mzee azishike...

Nikashuka Nkaanza kucheka nkawaambia wajaribu kwa wengine wakasepa Zao nikaenda chuo

Funzo:
Ukikutana na mtu humjui usimpe Mkono, Kama ni usiku usiongee na mtu humjui Wanatumia Dawa kuibiwa watu, especially anavyoongea na wewe huku anakushika shika mabega anakupoteza unaibiwa kila kitu nina Marafiki na ndugu in ameibiwa kwa hivi halafu pia tusiwe na tamaa na pesa za watu au pesa ya kirahisi.
Hata wewe inaelekea ni Tapeli tu, kwanini utoke nao posta Hadi huko ? Hii ni chai tu.
 
Mimi siwezi panda kwenye gari LA MTU nisiye mfahamu kirahisi hivo ,,, inaonekana huna kazi za kufanya ,,
 
😂😂😂 Nimekutana na wale matapeli wa pesa wakadhania wataniibia kumbe mimi mtoto wa mjini yaani nimezaliwa Moshi mjini nikasoma mpaka advance nkaja Dar Chuo na ni mtu ambaye ni mtundu sana wa mitandao ya kijamii

Scenario ipo hivi,

Nlikuwa nimesimama kituo cha daladala Magomeni Mwembechai ile sehemu wanapaita kanisani maana kuna kanisa nadhani ni la wasabato, akaja mzee akaniuliza Posta ferry ni wapo nikamwambia panda daladala za posta kabla sijamaliza Akaja mtu wa pili akaanza kumwambia huyu mzeee kwanini usipande mwendokasi Mara mzee akatoa pochi ina dollar kwa juu i guess ni feki pia akaanza kuniambia anataka kuexchange zipo Dollar 3000.

Mimi nimesoma stories nyingi mtandaoni najua kabisa nikiwa naongea na mtu ambaye simjui naavoid anishike mkono au Bega maana wanatumiaga dawa anavyokushika ana kupossess anakuibia sasa Baada ya yule mzeee kutoa hizo dollar akatwambia tumuonyeshe sehemu pakuexchange atatupa laki mbili na hamsini kila mmoja nkasema oyaaa.

Mara yule jamaaa aliyetukuta akasemaje hata Sheli wanaexchange na ukiangalia hivi kuna sheli mbele yetu, mzee akanisisitiza nsimuache ananiamini, lakini kichwani kitu kinaniambia siunajua kuna matapeli eeeee nkasema wacha niwaangalie watafika wapi. Basi tukaenda pale sheli...

Eti tumefika jamaaa akajifanya anapiga simu akamuuliza jamaaa wa kwenye simu upo Wap jamaaa akamwambia nipo hapa, tukakutana na huyo mtu wa pili akiwa kwenye Gari huyo ambaye alipigiwa simu, akaniuliza naitwa nani nkamwambia naitwa XXX nina ukoo wa kichaga.

Jamaa akatwambia tuingie kwenye gari twende Sinza tukaexchange nikamwambiaje, Sinza mbona Mbali Kuna bureau exchange hapo Cha Manzese akasema tupande gari basi nikapanda nikasema sikai mbele Hivyo kwenye gari tuwaka watu wanne.

Mara jamaa mwenye gari akashuka akaniambia njoo nje tuongeeee Nkatoka nae tukawa kwa nyuma akanifata akaniambiaje hizi hela nimewaambia ukiexchange ni milion 7 na laki tano ila ni milion 7 na laki sita kwa hyo Tutagawana hyo laki moja Siunajua udalali tena😃😃

Nikamwambia sawa Nikaavoid yeye kunipa Mkono tukarudi kwenye gari safari ikaanza...

Sasa kwenye gari nyuma nimekaaa mimi na mzee, mzee akaanza kunihadisia kuwa ana mtoto wake wa kike aliyepo Oman ndo Kampa hizo pesa, anaongea huku anatetemeka kiukweli na kuniambia kijana wangu wewe ndo nakuamini hapa, mimi nipo makini muda huo.

Mara tumefika Manzese wakawa wote wawili wananisisitiza kwanza nishike hizo hela za mzeee lakini mzee anasemaje hawaamini hawa watu wa mbele hivyo Tumuachie pesa zetu laki mbili mbili hili zifike milion atugaie dollar zake then niingie kwenye bureau exchange mimi na dereva... Wale wawili wakasema wanazo so ikawa bado mimi 😂

Huku Mzee wananisisitiza wewe kwenye account milion ngap ili mnipe milion mbili halafu niwape hizi dollar maana siwez kutoa tu bila kupewa chakushika... Mimi nikamwambiaje kwenye benki sina hata mia.

Kwahyo hela yake ikiingia haitakutana na hela nyingi maana walianza kusema kwamba pesa zikitolewa niwekewe kwenye account yangu ili Mzee asiibiwe...

Mimi ikawa siongei nkawaambiaje lakini hapo Tiptop ili nitoe hela niwape si wakapaki, eti wakawa wananiambiaje pokea pesa zile dollar nkawaambia wacha Mzee azishike...

Nikashuka Nkaanza kucheka nkawaambia wajaribu kwa wengine wakasepa Zao nikaenda chuo

Funzo:
Ukikutana na mtu humjui usimpe Mkono, Kama ni usiku usiongee na mtu humjui Wanatumia Dawa kuibiwa watu, especially anavyoongea na wewe huku anakushika shika mabega anakupoteza unaibiwa kila kitu nina Marafiki na ndugu in ameibiwa kwa hivi halafu pia tusiwe na tamaa na pesa za watu au pesa ya kirahisi.
Wewe kweli fala uliingiaje kwenye gari bora wangekufira tu asee ili siku nyingine upate akili
 
Nilipanda gari kwa sababu ya kuingiwa na huruma ya huyo mzee nlihisi yeye ndo anatapeliwa ni mzee wa umri kama 60-70 halafu anaileta tetemeka ya Wazee , ila pia nliona ni mchana halafu nliona ninawamudu .
Wewe ni bonge la mshamba na hiyo huruma yako ndo ushamba wenyewe. Umebahatika sana hujafanywa kitu mbaya na hao watu. Halafu inakuwaje unaacha ratiba zako na kuanza kufuata za watu wengine? Siku nyingine usiitaje Moshi Mjini kwenye upuuzi wako.
 
Huyo walimfira anaogopa kusema, anaingiaje kwenye gari ya wahuni kirahisi
 
Ni ngumu kuthibitisha kama walimfira ila kwa matukio aliyosimulia kuna uwezekano mkubwa walimwingilia kinyume na maumbile.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Nimekutana na wale matapeli wa pesa wakadhania wataniibia kumbe mimi mtoto wa mjini yaani nimezaliwa Moshi mjini nikasoma mpaka advance nkaja Dar Chuo na ni mtu ambaye ni mtundu sana wa mitandao ya kijamii

Scenario ipo hivi,

Nlikuwa nimesimama kituo cha daladala Magomeni Mwembechai ile sehemu wanapaita kanisani maana kuna kanisa nadhani ni la wasabato, akaja mzee akaniuliza Posta ferry ni wapo nikamwambia panda daladala za posta kabla sijamaliza Akaja mtu wa pili akaanza kumwambia huyu mzeee kwanini usipande mwendokasi Mara mzee akatoa pochi ina dollar kwa juu i guess ni feki pia akaanza kuniambia anataka kuexchange zipo Dollar 3000.

Mimi nimesoma stories nyingi mtandaoni najua kabisa nikiwa naongea na mtu ambaye simjui naavoid anishike mkono au Bega maana wanatumiaga dawa anavyokushika ana kupossess anakuibia sasa Baada ya yule mzeee kutoa hizo dollar akatwambia tumuonyeshe sehemu pakuexchange atatupa laki mbili na hamsini kila mmoja nkasema oyaaa.

Mara yule jamaaa aliyetukuta akasemaje hata Sheli wanaexchange na ukiangalia hivi kuna sheli mbele yetu, mzee akanisisitiza nsimuache ananiamini, lakini kichwani kitu kinaniambia siunajua kuna matapeli eeeee nkasema wacha niwaangalie watafika wapi. Basi tukaenda pale sheli...

Eti tumefika jamaaa akajifanya anapiga simu akamuuliza jamaaa wa kwenye simu upo Wap jamaaa akamwambia nipo hapa, tukakutana na huyo mtu wa pili akiwa kwenye Gari huyo ambaye alipigiwa simu, akaniuliza naitwa nani nkamwambia naitwa XXX nina ukoo wa kichaga.

Jamaa akatwambia tuingie kwenye gari twende Sinza tukaexchange nikamwambiaje, Sinza mbona Mbali Kuna bureau exchange hapo Cha Manzese akasema tupande gari basi nikapanda nikasema sikai mbele Hivyo kwenye gari tuwaka watu wanne.

Mara jamaa mwenye gari akashuka akaniambia njoo nje tuongeeee Nkatoka nae tukawa kwa nyuma akanifata akaniambiaje hizi hela nimewaambia ukiexchange ni milion 7 na laki tano ila ni milion 7 na laki sita kwa hyo Tutagawana hyo laki moja Siunajua udalali tena[emoji2][emoji2]

Nikamwambia sawa Nikaavoid yeye kunipa Mkono tukarudi kwenye gari safari ikaanza...

Sasa kwenye gari nyuma nimekaaa mimi na mzee, mzee akaanza kunihadisia kuwa ana mtoto wake wa kike aliyepo Oman ndo Kampa hizo pesa, anaongea huku anatetemeka kiukweli na kuniambia kijana wangu wewe ndo nakuamini hapa, mimi nipo makini muda huo.

Mara tumefika Manzese wakawa wote wawili wananisisitiza kwanza nishike hizo hela za mzeee lakini mzee anasemaje hawaamini hawa watu wa mbele hivyo Tumuachie pesa zetu laki mbili mbili hili zifike milion atugaie dollar zake then niingie kwenye bureau exchange mimi na dereva... Wale wawili wakasema wanazo so ikawa bado mimi [emoji23]

Huku Mzee wananisisitiza wewe kwenye account milion ngap ili mnipe milion mbili halafu niwape hizi dollar maana siwez kutoa tu bila kupewa chakushika... Mimi nikamwambiaje kwenye benki sina hata mia.

Kwahyo hela yake ikiingia haitakutana na hela nyingi maana walianza kusema kwamba pesa zikitolewa niwekewe kwenye account yangu ili Mzee asiibiwe...

Mimi ikawa siongei nkawaambiaje lakini hapo Tiptop ili nitoe hela niwape si wakapaki, eti wakawa wananiambiaje pokea pesa zile dollar nkawaambia wacha Mzee azishike...

Nikashuka Nkaanza kucheka nkawaambia wajaribu kwa wengine wakasepa Zao nikaenda chuo

Funzo:
Ukikutana na mtu humjui usimpe Mkono, Kama ni usiku usiongee na mtu humjui Wanatumia Dawa kuibiwa watu, especially anavyoongea na wewe huku anakushika shika mabega anakupoteza unaibiwa kila kitu nina Marafiki na ndugu in ameibiwa kwa hivi halafu pia tusiwe na tamaa na pesa za watu au pesa ya kirahisi.
Kitendo la kukubali kupanda Hilo gari wewe Ni mpumbavu Sana [emoji38] wangakupuliza madawa akili ingekukaa sawa

Uzi ungesomeka jinsi nilivyo ***** an matalpeli
 
Unabahati sana hapo mbele kwa dereva ulipo kaa mtu wa nyuma ange kufunika leso puani kwishaa habari yako usichezee moto eti watu huwajui unapanda gari Yao nahisi kunavitu umeficha mkuu mwisho wa story mara umekaa na Babu mwanzo umekaa na dereva mkashuka namashaka na ulipoishia aisee pole mkuu sikunyingine hata salamu usijibu fanya yako daslam Ina wenyewe.
nilikaaa nyuma soma vizur
 
Ni ngumu kuthibitisha kama walimfira ila kwa matukio aliyosimulia kuna uwezekano mkubwa walimwingilia kinyume na maumbile.
mzee mbona unamakasiriko sana ? yani unaahisara kama umechanganyikiwa
 
Unapanda hadi gari utakuja kudinywa mangi!!! Wangelock gari wakakupeleka chimbo je?
Mjini hapa shauri yako.
Kukubali tu kwenda sheli ni uzembe.
 
Halafu wanalaumiwa polisi kwamba watu wanapotea kumbe kuna wajinga kama wewe, wanajipoteza makusudi. Humo kwenye gari wangekupulizia dawa ukalala?
Uokotwe maiti Mabwepande, acha ufala.
 
Back
Top Bottom