Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 87,506
- 151,755
Hapana bhana na nlikuwa nimeshika simu Si wangenitapeli simu?
Ukiwashitukia hao hata salamu usiwape.
Siku nyingine unaweza kuchinjiwa baharini.
Hapana bhana na nlikuwa nimeshika simu Si wangenitapeli simu?
Sidhani kama kaepuka maana hadi gari kapanda, unaanzaje kupanda gari za watu usiowajua?Huu mji hauna mjanja we shukuru tu umeepuka kunasa
Eti huyu naye anajiita mtoto wa mjini wakati mji kaujua ukubwani kibahati kwa kuchaguliwa kusoma chuo dar.nimekutana na wale matapeli wa pesa wakazania wataniibia kumbe mm mtoto wa mjini yani nimezaliwa moshi mjini nikasoma mpaka advance nkaja Dar Chuo na ni mtu ambaye ni mtundu sana wa mitandao ya kijamii
Na ukapanda na gari yao 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣una bahati sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimekutana na wale matapeli wa pesa wakazania wataniibia kumbe mm mtoto wa mjini yani nimezaliwa moshi mjini nikasoma mpaka advance nkaja Dar Chuo na ni mtu ambaye ni mtundu sana wa mitandao ya kijamii
Scenario ipo hivi,
Nlikuwa nimesimama kituo cha daladala magomen mwembechai ile sehemu wanapaita kanisani maana kuna kanisa nazani ni la wasabato, akaja mzee akaniuliza Posta ferry ni wap nikamwambia panda daladala za posta kabla cjamaliza Akaja mtu wa pili akanza kumwambia huyu mzeee kwa nn usipande mwendo kasi Mara mzee akatoa pochi inadollar kwa juu i guess ni feki pia akaanza kuniambia anataka kuexchange zipo Dollar 3000.
mimi nimesoma stories nyingi mtandaoni najua kabisa Nkiwa naongea na mtu ambaye simjui naavoid anishike mkono au Bega maana wanatumiaga dawa anavyokushika ana kupossess anakuibia sasa Baada ya yule mzeee kutoa hizo dollar akatwambia tumuonyeshe sehemu pakuexchange atatupa laki mbili na hamsini kila mmoja nkasema oyaaa.
Mara yule jamaaa aliyetukuta akasemaje hata Sheli wanaexchange na ukiangalia hivi kuna sheli mbele yetu , mzee akanisisitiza nsimuache ananiamini , lakini kichwani kitu kinaniambia siunajua kuna matapeli eeeee nkasema wacha niwaangalie watafika wapi. basi tukaenda pale sheli...
Heti tumefika jamaaa akajifanya anapiga simu akamuuliza jamaaa wa kwenye simu upo Wap jamaaa akamwambia nipo hapa , tukakutana na huyo mtu wa pili akiwa kwenye Gari huyo ambaye alipigiwa simu , akaniuliza naitwa nani nkamwambia naitwa XXX nina ukoo wakichaga[emoji1787]...
Jamaa akatwambia tuingie kwenye gari twende Sinza tukaexchange nkamwambiaje sinza mbona Mbali Kuna bureau exchange hapo Cha manzese akasema tupande gari basi nikapanda nikasema sikai mbele Hivyo kwenye gari tuwaka watu wanne.
Mara jamaa mwenye gari akashuka akaniambia njoo nje tuongeeee Nkatoka nae tukawa kwa nyuma akanifata akaniambiaje hizi hela nimewaambia ukiexchange ni milion 7 na laki tano ila ni milion 7 na laki sita kwa hyo Tutagawana hyo laki moja Siunajua udalali tena [emoji23]Nikamwambia sawa Nikaavoid yeye kunipa Mkono tukarudi kwenye gari safari ikaanza...
Sasa kwenye gari nyuma nimekaaa mimi na mzee , mzee akaanza kuniaidisia kuwa ana mtoto wake wakike aliyepo Oman ndo Kampa hizo pesa , anaongea huku anatetemeka kiukwel nakuniambia kijana wangu ww ndo nakuamini hapa , mm nipo makini muda huo.
Mara tumefika manzese wakawa wote wawili wananisisitiza kwanza nishike hizo hela za mzeee lakini mzee anasemaje hawaamini hawa watu wa mbele hivyo Tumuachie pesa zetu laki mbili mbili hili zifike milion atugaie dollar zake then niingie kwenye bureau exchange mimi na dereva ... Wale wawili wakasema wanazo so ikawa bado mimi[emoji23]
Huku Mzee wananisisitiza wewe kwenye account milion ngap ili mnipe milion mbili halafu niwape hizi dollar maana siwez kutoa tu bila kupewa chakushika... Mimi nikamwambiaje kwenye benki sina hata mia[emoji23]
Kwahyo hela yake ikiingia haitakutana na hela nyingi maana walianza kusema kwamba pesa zikitolewa niwekewe kwenye account yangu ili Mzee asiibiwe...
Mimi ikawa siongei nkawaambiaje pakini hapo Tiptop ili nitoe hela niwape si wakapaki[emoji23] heti wakawa wananiambiaje pokea pesa zile dollar nkawaambia wacha Mzee azishike...
Nkashuka Nkaanza kucheka nkawaambia wajaribu kwa wengine [emoji23]wakasepa Zao nikaenda chuo [emoji1787]
Funzo:
Ukikutana na mtu humjui husimpe Mkono, Kama ni usiku usiongee na mtu humjui Wanatumia Dawa kuibiwa watu, especially anavyoongea na wewe huku anakushika shika mabega anakupoteza unaibiwa kila kitu nina Marafiki na ndugu in ameibiwa kwa hivi halafu pia tusiwe na tamaa na pesa za watu au pesa ya kirahisi.
Simu za tachi zinaita askari wajanja hawazitaki, kwani ni rahisi kukamatwa hata ikienda mikoani.nilikuwa nina laki nne kwenye simu , na simu ni ya zaidi ya laki tano.
Huwezi kuharibu lugha kwa kusingizia lafudhi. Basi acha kuongea hiyo lugha na utumie lugha uliyoizoea maana huu utoto wa kukimbilia kichaka cha lafudhi ndo mnaidharaulisha lugha.hamna ni lafudhi yangu ipo hvyo .
Wewe huna ujanja wowote kama ndio ilikuwa ivo?😂😂😂 nimekutana na wale matapeli wa pesa wakazania wataniibia kumbe mm mtoto wa mjini yani nimezaliwa moshi mjini nikasoma mpaka advance nkaja Dar Chuo na ni mtu ambaye ni mtundu sana wa mitandao ya kijamii
Scenario ipo hivi,
Nlikuwa nimesimama kituo cha daladala magomen mwembechai ile sehemu wanapaita kanisani maana kuna kanisa nazani ni la wasabato, akaja mzee akaniuliza Posta ferry ni wap nikamwambia panda daladala za posta kabla cjamaliza Akaja mtu wa pili akanza kumwambia huyu mzeee kwa nn usipande mwendo kasi Mara mzee akatoa pochi inadollar kwa juu i guess ni feki pia akaanza kuniambia anataka kuexchange zipo Dollar 3000.
mimi nimesoma stories nyingi mtandaoni najua kabisa Nkiwa naongea na mtu ambaye simjui naavoid anishike mkono au Bega maana wanatumiaga dawa anavyokushika ana kupossess anakuibia sasa Baada ya yule mzeee kutoa hizo dollar akatwambia tumuonyeshe sehemu pakuexchange atatupa laki mbili na hamsini kila mmoja nkasema oyaaa.
Mara yule jamaaa aliyetukuta akasemaje hata Sheli wanaexchange na ukiangalia hivi kuna sheli mbele yetu , mzee akanisisitiza nsimuache ananiamini , lakini kichwani kitu kinaniambia siunajua kuna matapeli eeeee nkasema wacha niwaangalie watafika wapi. basi tukaenda pale sheli...
Heti tumefika jamaaa akajifanya anapiga simu akamuuliza jamaaa wa kwenye simu upo Wap jamaaa akamwambia nipo hapa , tukakutana na huyo mtu wa pili akiwa kwenye Gari huyo ambaye alipigiwa simu , akaniuliza naitwa nani nkamwambia naitwa XXX nina ukoo wa kichaga
Jamaa akatwambia tuingie kwenye gari twende Sinza tukaexchange nkamwambiaje sinza mbona Mbali Kuna bureau exchange hapo Cha manzese akasema tupande gari basi nikapanda nikasema sikai mbele Hivyo kwenye gari tuwaka watu wanne.
Mara jamaa mwenye gari akashuka akaniambia njoo nje tuongeeee Nkatoka nae tukawa kwa nyuma akanifata akaniambiaje hizi hela nimewaambia ukiexchange ni milion 7 na laki tano ila ni milion 7 na laki sita kwa hyo Tutagawana hyo laki moja Siunajua udalali tena😃😃 Nikamwambia sawa Nikaavoid yeye kunipa Mkono tukarudi kwenye gari safari ikaanza...
Sasa kwenye gari nyuma nimekaaa mimi na mzee , mzee akaanza kuniaidisia kuwa ana mtoto wake wakike aliyepo Oman ndo Kampa hizo pesa , anaongea huku anatetemeka kiukwel nakuniambia kijana wangu ww ndo nakuamini hapa , mm nipo makini muda huo.
Mara tumefika manzese wakawa wote wawili wananisisitiza kwanza nishike hizo hela za mzeee lakini mzee anasemaje hawaamini hawa watu wa mbele hivyo Tumuachie pesa zetu laki mbili mbili hili zifike milion atugaie dollar zake then niingie kwenye bureau exchange mimi na dereva ... Wale wawili wakasema wanazo so ikawa bado mimi 😂
Huku Mzee wananisisitiza wewe kwenye account milion ngap ili mnipe milion mbili halafu niwape hizi dollar maana siwez kutoa tu bila kupewa chakushika... Mimi nikamwambiaje kwenye benki sina hata mia
Kwahyo hela yake ikiingia haitakutana na hela nyingi maana walianza kusema kwamba pesa zikitolewa niwekewe kwenye account yangu ili Mzee asiibiwe...
Mimi ikawa siongei nkawaambiaje pakini hapo Tiptop ili nitoe hela niwape si wakapaki, eti wakawa wananiambiaje pokea pesa zile dollar nkawaambia wacha Mzee azishike...
Nkashuka Nkaanza kucheka nkawaambia wajaribu kwa wengine wakasepa Zao nikaenda chuo
Funzo:
Ukikutana na mtu humjui husimpe Mkono, Kama ni usiku usiongee na mtu humjui Wanatumia Dawa kuibiwa watu, especially anavyoongea na wewe huku anakushika shika mabega anakupoteza unaibiwa kila kitu nina Marafiki na ndugu in ameibiwa kwa hivi halafu pia tusiwe na tamaa na pesa za watu au pesa ya kirahisi.
KumbeMpaka wanakubeba mpaka sijui manzese Mara sijui sinza jua tu ilikuwa Bahati yako kama wasingekuwa not only matapeli but also wafiraji means wangekufira maana wangekupulizia hata dawa ya usingizi uokotwe kunduchi beach
SOMO: HAKUNA MJANJA KILA MJANJA ANA MJANJA WAKE USIKUBALI KABISA KUJARIBU SUMU KWA KULAMBA
Basi bado sana kama umeweza kupanda gari kuna watu watatu ndani na haujagundua kitu wewe bado sana aisee ndio ninyi mnakufa vifo vya kuvifata umefanya kitu cha kijinga sana aisee..hii ni ukwel kabisa I swear to My God imenitokea.
Nyinyi ndiyo maana kila siku mnatekwa na kupotezwa. Maana mambo mengine huwa mnajitakia wenyewe. Yaani kirahisi tu ukaingia kwenye gari lao kwa lengo la kwenda kubadilisha hizo fedha za kigeni!!😂😂😂 nimekutana na wale matapeli wa pesa wakazania wataniibia kumbe mm mtoto wa mjini yani nimezaliwa moshi mjini nikasoma mpaka advance nkaja Dar Chuo na ni mtu ambaye ni mtundu sana wa mitandao ya kijamii
Scenario ipo hivi,
Nlikuwa nimesimama kituo cha daladala magomen mwembechai ile sehemu wanapaita kanisani maana kuna kanisa nazani ni la wasabato, akaja mzee akaniuliza Posta ferry ni wap nikamwambia panda daladala za posta kabla cjamaliza Akaja mtu wa pili akanza kumwambia huyu mzeee kwa nn usipande mwendo kasi Mara mzee akatoa pochi inadollar kwa juu i guess ni feki pia akaanza kuniambia anataka kuexchange zipo Dollar 3000.
mimi nimesoma stories nyingi mtandaoni najua kabisa Nkiwa naongea na mtu ambaye simjui naavoid anishike mkono au Bega maana wanatumiaga dawa anavyokushika ana kupossess anakuibia sasa Baada ya yule mzeee kutoa hizo dollar akatwambia tumuonyeshe sehemu pakuexchange atatupa laki mbili na hamsini kila mmoja nkasema oyaaa.
Mara yule jamaaa aliyetukuta akasemaje hata Sheli wanaexchange na ukiangalia hivi kuna sheli mbele yetu , mzee akanisisitiza nsimuache ananiamini , lakini kichwani kitu kinaniambia siunajua kuna matapeli eeeee nkasema wacha niwaangalie watafika wapi. basi tukaenda pale sheli...
Heti tumefika jamaaa akajifanya anapiga simu akamuuliza jamaaa wa kwenye simu upo Wap jamaaa akamwambia nipo hapa , tukakutana na huyo mtu wa pili akiwa kwenye Gari huyo ambaye alipigiwa simu , akaniuliza naitwa nani nkamwambia naitwa XXX nina ukoo wa kichaga
Jamaa akatwambia tuingie kwenye gari twende Sinza tukaexchange nkamwambiaje sinza mbona Mbali Kuna bureau exchange hapo Cha manzese akasema tupande gari basi nikapanda nikasema sikai mbele Hivyo kwenye gari tuwaka watu wanne.
Mara jamaa mwenye gari akashuka akaniambia njoo nje tuongeeee Nkatoka nae tukawa kwa nyuma akanifata akaniambiaje hizi hela nimewaambia ukiexchange ni milion 7 na laki tano ila ni milion 7 na laki sita kwa hyo Tutagawana hyo laki moja Siunajua udalali tena😃😃 Nikamwambia sawa Nikaavoid yeye kunipa Mkono tukarudi kwenye gari safari ikaanza...
Sasa kwenye gari nyuma nimekaaa mimi na mzee , mzee akaanza kuniaidisia kuwa ana mtoto wake wakike aliyepo Oman ndo Kampa hizo pesa , anaongea huku anatetemeka kiukwel nakuniambia kijana wangu ww ndo nakuamini hapa , mm nipo makini muda huo.
Mara tumefika manzese wakawa wote wawili wananisisitiza kwanza nishike hizo hela za mzeee lakini mzee anasemaje hawaamini hawa watu wa mbele hivyo Tumuachie pesa zetu laki mbili mbili hili zifike milion atugaie dollar zake then niingie kwenye bureau exchange mimi na dereva ... Wale wawili wakasema wanazo so ikawa bado mimi 😂
Huku Mzee wananisisitiza wewe kwenye account milion ngap ili mnipe milion mbili halafu niwape hizi dollar maana siwez kutoa tu bila kupewa chakushika... Mimi nikamwambiaje kwenye benki sina hata mia
Kwahyo hela yake ikiingia haitakutana na hela nyingi maana walianza kusema kwamba pesa zikitolewa niwekewe kwenye account yangu ili Mzee asiibiwe...
Mimi ikawa siongei nkawaambiaje pakini hapo Tiptop ili nitoe hela niwape si wakapaki, eti wakawa wananiambiaje pokea pesa zile dollar nkawaambia wacha Mzee azishike...
Nkashuka Nkaanza kucheka nkawaambia wajaribu kwa wengine wakasepa Zao nikaenda chuo
Funzo:
Ukikutana na mtu humjui husimpe Mkono, Kama ni usiku usiongee na mtu humjui Wanatumia Dawa kuibiwa watu, especially anavyoongea na wewe huku anakushika shika mabega anakupoteza unaibiwa kila kitu nina Marafiki na ndugu in ameibiwa kwa hivi halafu pia tusiwe na tamaa na pesa za watu au pesa ya kirahisi.
Watoto wanaacha kusoma anadhani ataokota hela Mjini kirahisi tu nimeshangaa sana Msomi kuingia kingi ya hovyo namna hii hawa ndio wakimaliza Chuo hii mitembeo ya Wachina na mikataba ya hovyo hawawezi kutoka aisee...Nyinyi ndiyo maana kila siku mnatekwa na kupotezwa. Maana mambo mengine huwa mnajitakia wenyewe. Yaani kirahisi tu ukaingia kwenye gari lao kwa lengo la kwenda kubadilisha hizo fedha za kigeni!!
Hivi hizo hela zilikuwa zinakuhusu? Hukuwa na kazi ya kufanya mpaka ukaamua kuzunguka nao? Tamaa zitawaponza ndugu zangu.
Kweli wewe ni mshamba wa Moshi. Kuzaliwa na kukulia Dar ni elimu tosha. Nyie mlioletwa mjini na shule mna matatizo sana. Kama ulifikia hadi hatua ya kupandishwa kwenye gari ya watu usiowafahamu wewe ni mjinga.😂😂😂 nimekutana na wale matapeli wa pesa wakazania wataniibia kumbe mm mtoto wa mjini yani nimezaliwa moshi mjini nikasoma mpaka advance nkaja Dar Chuo na ni mtu ambaye ni mtundu sana wa mitandao ya kijamii