MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,063
- 43,438
Ulifanya ufala. Siku nyingine usirudie.mzee mbona unamakasiriko sana ? yani unaahisara kama umechanganyikiwa
Ulifanya ufala. Siku nyingine usirudie.mzee mbona unamakasiriko sana ? yani unaahisara kama umechanganyikiwa
watu mna hasira sana sjui shida ni nn [emoji28] kwan mkiwasilisha hoja kwa upole siinaelewekaUnapanda hadi gari utakuja kudinywa mangi!!! Wangelock gari wakakupeleka chimbo je?
Mjini hapa shauri yako.
Kukubali tu kwenda sheli ni uzembe.