Nimekutana na malaika

Status
Not open for further replies.
Kama chura anaye hamna cha kushangaa, oa.@khantwe mama ushauri huyo anakufaa wewe akuweke kwenye right track.Ngoja nimcheki kwenye simu..
Hahaa hapo kwa @khante nimecheka sana

Mtafute Wick aisee
 
Umemalizia vizuri " asante
 
Umewahi kuvundika tunda?yaani unaangua afu unaliwwka ukisubiri liive?
Basi vuta subra....invoice utakayopigwa itakusababisha uchukie kabisa usipokua makini!JISHIKILIE BRUV.
 
Usimkatishe tamaa, wanawake wenye tabia nzuri wapo si wote wadangaji yawezekana katika hao wazuri huyo ndiye mmoja wapo
 
Kwa hiki ulichokiandika kwanza nakupa pole sana, nyie ndo wanaume washabiki wa wanawake kama watu walivyo washabiki wa mpira wakati wao hawachezi. Hivi mwanamke kutokuambia mahitaji yake ndo unaona umepata malaika / jini?

Nakupa ushuhuda wa kweli .. jamaa yangu alipata mke wa hivyo, hata siku moja hakuwahi kuambiwa lolote. Mwanamke alijitahidi hadi akanunua kiwanja na kuandika documents Mr. & Mrs, jamaa akawa amevimba kichwa. Mwanamke akapata hela nyingine akajenga mjengo mwingine sehemu nyingine. Mwanamke akanunua gari akamkabidhi mwanaume - mwanaume akawa sasa anaonekana big boss ila ukweli tukijua kuwa hela sio zake.

Siku ya siku alikuta nyumba iko wazi; mwanamke ameamia nyumba mpya. Mwanaume kuuliza kulikoni - aliambiwa umefika wakati wa kila mtu kujitegemea. Mwanamke aliondoka na watoto wake + gari nyumbani aliacha documents za nyumba na ndoa basi.

Hadi naandika haya; huyo jamaa yuko kama kachanganyikiwa.
 
Furahia kizuri upatapo usisubilie kibaya ndiyo uanze kujuata anzia hapo hapo kwenye mema
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…