hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 51,536
- 73,817
Sawa " I gread with you "..Tusiawaondoe ila tusione kwamba ni wajibu wao. Msaidizi sio wajibu.
Sawa " I gread with you "..Tusiawaondoe ila tusione kwamba ni wajibu wao. Msaidizi sio wajibu.
Hahaa " unastahiki kuwa hivyo "Haaa haaa yaani nitakuwa na kihelehele mpaka basi
Hahaa asante " nitayahifadhi haya maneno ya kwenye hii aya ya pili " nimuhimu mnoo kwa ustawi wa penzi letu ".Sikutaka kuandika mengi as najua vile unajisikia, it feels good hasa kukutana na mtu sahihi kwa wakati sahihi.
Usije kuharibu tu na micheps na hits zako. Kuna sacrifices nyingi lazima ufanye ili muwe na familia bora.
Ila mzee umenasa hadi kugonga na kusepa umeacha!!!!Hahaa hamna bwana
Pengine ana lijamaa linalomhudumia pembeni lina mke na watoto
Hivi kumbe na wewe unatoa pesa, yaani kabisa unazitoa?kidding!!
Unayafurahia maisha sana naona mkuu. Kwa hiyo wanawake ni viumbe walio hatarini kutoweka?yaan sijui nisemeje..hakuna kiumbe hatari dunian kama wanawake....endangered spicies...!mie nash8ndwa iweka clear hii coz nashindwa nielezeje...wanawake mtuonage hv hv
sipend kwenda deep najipombekea mie sitak stress


Unayafurahia maisha sana naona mkuu. Kwa hiyo wanawake ni viumbe walio hatarini kutoweka?![]()
Mpaka wanapata stress plus shell kwakushindwa kuomba hela
Teh teh, mane bwana! Mi sitafia mbali coz nakupendaga tu mkuue
Elli niache... najiogopa mwenyewe!..mnatubadilishaga wenyewe
.mkafie front


Asieomba pesa anategemea mwanaume ajiongeze, sasa kama hajiongezi malalamiko tinapata sisi mashosti ila mhusika haambiwi. Kuact uinnocent napo kunataka moyo.
Ndiyo hapo, halafu ukute me mwenyewe kauzu utajuta, ke anatafuta huko na kuja kumtunza mariooAsieomba pesa anategemea mwanaume ajiongeze, sasa kama hajiongezi malalamiko tinapata sisi mashosti ila mhusika haambiwi. Kuact uinnocent napo kunataka moyo.




Mwaka wangapi huu tangia umuombeoct nimemuomba mume onlu 1k akaniambia atanipa aftre 3dys...mpk wa leo..sasa anahis nitamkumbusha!pumbafu


Mwaka wangapi huu tangia umuombe![]()
Hahaha mkuu kuna ule uzi wako " unazungumzia umuhimu wa wanawake kuwa wasaidizi kwa wanaume " uliongeaga point zilishiba sana mule " kuanzia siku ile nikakuvisha manyota kibao " nashangaa leo waniangusha " sijui umekula maharage ya wapi wewe !!?
Hahahaaa!!oct nimemuomba mume onlu 1k akaniambia atanipa aftre 3dys...mpk wa leo..sasa anahis nitamkumbusha!pumbafu
Kweli " sio siri hahaaSiku ile nilikuwa nimevuta bangi.
Ila mzee umenasa hadi kugonga na kusepa umeacha!!!!
Hivi mabinti wangapi umewatia kwenye blacklist ili wasikuharibie kwa shemeji?
Brother I feel youYaani mpaka scure sms ime stuck mkuu