Nimekutana na kongosho

Nimekutana na kongosho

he he he, ukubwa jalala.
Natumiwa huku najiona
ila leo niko kwenye good mood.

Hivi umemionea naniliyu?

Underground wa sana, tena wakujificha.
Ndio maana mambo ya kuanzishiwa thread yananiletea wasiwasi sasa.
 
he he he, ukubwa jalala.
Natumiwa huku najiona
ila leo niko kwenye good mood.

Hivi umemionea naniliyu?
Yupi sasa? maana wewe nae unawatu chungu nzima
Kama unamaanisha yule person of interest,
nimemuona International, nikamgongea like
(aliongea point, kama kawaida)
 
Kwangu raha ya JF ni anonymity. Tukishaanza kujuana basi tena
Isitoshe, tujuane huko uraiani halafu uje kuanzisha thread about it? Kha!

Unanikumbusha mtandao flani sitautaja... Ilikuwa raha sana.. Tukaamua tufanye get together.. Tukakutana Mango Garden...

Mara ya pili tukakutana rose Garden... Dah...

Cha ajabu,baada ya mikutano hiyo miwili,na baada ya miezi mitatu baadaye,mtandao ukafungwa!
 
nikikuuliza jua namtafuta personal wangu?
Sijamuona wiki nzima.

Sijui kawa jf by naiti?

Yupi sasa? maana wewe nae unawatu chungu nzima
Kama unamaanisha yule person of interest,
nimemuona International, nikamgongea like
(aliongea point, kama kawaida)
 
jina kubwa katika fani...naona watu wanalitumia kama daraja!...
 
atakuja kutuupdate kwenye hii hii thread ya big mama. Mzima wewe?
Mzima kabisa but najiskia hovyo tu, sina glow, sina shine.


Unanikumbusha mtandao flani sitautaja... Ilikuwa raha sana.. Tukaamua tufanye get together.. Tukakutana Mango Garden...
Mara ya pili tukakutana rose Garden... Dah...
Cha ajabu,baada ya mikutano hiyo miwili,na baada ya miezi mitatu baadaye,mtandao ukafungwa!
Mi vya hivo ndio hata siwezi kwenda.
Na kama kwa sabbu moja au nyingine I need to go
(kama vya Regia) wala siwezi kujitambulisha!

nikikuuliza jua namtafuta personal wangu?
Sijamuona wiki nzima.
Sijui kawa jf by naiti?
Hata sijui. alikuwepo leo afternoon,
akagonga likes kadhaa then akapotea tena.
 
Back
Top Bottom