ENZO
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,242
- 1,736
Kongosho watu wanahamu ya kukuona...
jisemee mwenyewe, usiwasemee watu .....nakuomba ubadilishe sentensi yako iwe kwenye umoja.
MP.
Kongosho watu wanahamu ya kukuona...
wiki hii bwana nimekutana na kongosho alikuja ofisini kwangu kwa shughuli zake binafsi ila hakunitambua kuwa mimi ndio C.T.U ila mimi nimemtambua kwa uwezo wangu binafsi katika masuala ya inteljensia na saikolojia ya binaadamu na nilijifanya kuwa simjui na wala sikumsemesha kitu chochote
ila nampa hongeza zake maana mmmh
Kwanini ulifungwa mkuu??Unanikumbusha mtandao flani sitautaja... Ilikuwa raha sana.. Tukaamua tufanye get together.. Tukakutana Mango Garden...
Mara ya pili tukakutana rose Garden... Dah...
Cha ajabu,baada ya mikutano hiyo miwili,na baada ya miezi mitatu baadaye,mtandao ukafungwa!
Mkuu naomba unifafanulie haya maneno mawili uliyoyaandikaFani gani?
Daraja gani??
Mi vya hivo ndio hata siwezi kwenda.
Na kama kwa sabbu moja au nyingine I need to go
(kama vya Regia) wala siwezi kujitambulisha! QUOTE:
yaani unakuwa ama mnakuwa so excited kiasi kwamba,unakuwa na hamu ya kuonana na memba flani-flani...
Tatizo linakuja mnapoweka hisia za kimapenzi..(maana asikudanganye mtu,mara nyingi kujuana kwa namna hii,huishia kuaprochiana...)
sasa si kuna kukataana.... Baada ya hapo ugomvi,na mtandao hauingiliki tena..
aka naogopa kupewa bagah miye
Kwanini ulifungwa mkuu??
Gambachovu, hiyo YA nini?
aka naogopa kupewa bagah miye
Konnie ni KEME.Mie kwanza nataka kujua kama KONGOSHO ni KE au ME.....................?
Ukipatia tu, nitakuamini uyasemayo.......................
na wewe ni MEKE
hadi raha.
Konnie ni KEME.
forum ya Chit-Chat na uzi za konnie kazi kweli kweli..