Nimekutana na huu ujumbe

Nimekutana na huu ujumbe

Hakika mkuu,kuna dada humu ndani mwezi wa pili huu sasa naonesha hisia zangu kwake.Ila cha ajabu hajawahi hata uthamini upendo wangu kwake.Sijui nitumie njia gani?Isitoshe yeye ni mtu alienifanya ni SIGN UP hapa jamii forums.Anyway...
Kumbe nawe kama mimi tu!!!
 
Hakika mkuu,kuna dada humu ndani mwezi wa pili huu sasa naonesha hisia zangu kwake.Ila cha ajabu hajawahi hata uthamini upendo wangu kwake.Sijui nitumie njia gani?Isitoshe yeye ni mtu alienifanya ni SIGN UP hapa jamii forums.Anyway...
PESA PESA PESA
 
Mi mwanamke akianza mapichapicha yake namuhesabia siku Tu! Muda wenyewe wa kupoteza upo wapi eti tuanze kurekebishana Tabia.
 
Back
Top Bottom