BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,341
- Thread starter
- #41
Safi kakaUsijali my Dada, bado najipanga unajua kuoa sio jambo la mchezo au kukurupuka tu...
Safi kakaUsijali my Dada, bado najipanga unajua kuoa sio jambo la mchezo au kukurupuka tu...
Inatokea sana hata kwetu. Ndio changamoto za mahusiano hizo.Sujui kwa nini inakuwaga hivi. Utaona mtu anakupendaa ila wewe ndo hata mshipa. Nna imani sio kwetu tu hata kwenu
Nlitaka usinione haraka nikufumanie. Vipi hujaipenda?Inatokea sana hata kwetu. Ndio changamoto za mahusiano hizo.
NB: Umebadili avatar umenichanganya sana mpenzi
Mkuu mwanamke ambae pengine unaweza kutumia hela kumridhisha kihisia na kimwili kimapenzi n.k, utaishi nae wa hivyo ni yule ambae yeye goal yake ni after money..huyo sawa mnaeza mkaishi na mind you pesa zikiisha na mkataba wake wa kua na wewe umeisha, anaondoka.Porojo tu, tafuteni hela, nani kasikia mtu mwenye hela amedharauliwa au ametendwa awe mwanamke au mwanaume. Fedha ndiyo sabuni ya roho, mapenzi ni umasikini.
Hahahaha mimi mwaminifu sana usiwaze kunifumania.Nlitaka usinione haraka nikufumanie. Vipi hujaipenda?
Haya ngoja tuone kama kweli.Hahahaha mimi mwaminifu sana usiwaze kunifumania.
Iko vizuri
Sawa mkuu ila nimeona ni mahali salama pa kushushia mazito ya moyo wangu![]()
![]()
mkuu ujumbe huu hauapply kwa kesi yako. Unawazungumzia wale ambao wako kwenye mahusiano
Pole mkuu ndo maisha yalivyo huwezi kila kitu hakiwezi kuwa perfect kama unavyotakaSawa mkuu ila nimeona ni mahali salama pa kushushia mazito ya moyo wangu
Funguka fungukaaHata mm humu kuna dada namuelewa sana
Naona aibu tatizoFunguka fungukaa
Bwana bwan bwanaCc Perfectz
Umesoma hapa kaka ?! Umeambiwa labda uvumilie ..lakin dah unavumilia badae unakuja kupewa kadi ya harusi






Wenye hela wanapigiwa Vizibo vyao mkuu daily,Porojo tu, tafuteni hela, nani kasikia mtu mwenye hela amedharauliwa au ametendwa awe mwanamke au mwanaume. Fedha ndiyo sabuni ya roho, mapenzi ni umasikini.
Karibu neyUjumbe mzuri sana

Mtandike maneno kwa PM hukoNaona aibu tatizo