Nimekutana na huu ujumbe

Nimekutana na huu ujumbe

A shoulder to cry on might be a .....to ride on.
It pays, kuwa na subra.
mmmh labda itokee tu kuliko ile unajua kbs afu unasubiri.., unakuwa ka shetani yule anayepitiaga watu wakakosea.

will i feel manly being with someone after she loses her first choice?
 
Yeaah bro unaweza jisikia manly but it takes a solid heart and patiency to feel and be like one...
"Let me give u the side of my story kidogo"
So nlikutana na this girl tukiwa chuo around mwanzoni wa second year, and taratibu nikaanza kuwa na feelings kwake baada ya kuwa namuona mara kadhaa..one day tukameet kwenye transport nikamuomba digits zake and akanipa..basi story siku mbili tatu kwa simu then nikamwaga vocals and akanijibu that she has someone anaetoka nae..
nikajisemea tuu, go east or west someday i beleive I'll have u by my side if things zikiwa poa kati yetu.. so nikawa open hearted and dated some other ladies when i had the chance to and felt like the right thing kufanya kwa kipindi kile..basi bhana second year ikawa imekata and whenever nikipata chance ya kumkumbushia what i felt jibu ni lile lile kuwa yuko na guy wake..
Third year ikaingia.. then jamaa ake akaanza mzingua sana,almost every week(some days) anakuja analia room kwangu and na mi nikawa nimemuwekea mazingira ya true friendship as respecting what she had so nikawa her comfort kwa kumshauri how anatakiwa ahandle situations..eventually nikaanza winning her trust taratiiibu basi na mi kuona hivyo nikajua tuu soon they'll break up of which they did. huku mi pia relationship yangu haikua ina work poa sana so nikawa najua i'll soon call it off..and of which i did..
Basi after that nikajipa muda na ye nikampigia mahesabu in one and a half months time atakua yuko fresh kiakili na emotions sasa..nikakumbushia juu ya what i felt and how madly i wanted kuwa nae.. and yeah she said okaaay lets give it try tuone kama ita work out maana bado hayuko stable kuanza na new relationship..
With her saying yes and giving it a try.. am happy to say its been 2 years of friendship and 2 years of dating its been worth it na Inshallah next year ndoa itahusika..I love her and i beleive she feels the same and sijawahi juta why things zilikua kama zilivyoenda maana naamini yote ilikua mipango ya Mungu..

Ni hayo tuu, sorry kwa a long paragraph..
Nice one. Congrats.
 
Back
Top Bottom