Nimekutana na huu ujumbe

Nimekutana na huu ujumbe

Wakati mwingine "patience pays" yaani uvumilivu unalipa.
Wanawake ni viumbe waenda pole. Unaweza mwambia yoote ya moyoni lakini akakukatalia hamad baada ya mwezi au miezi anajileta mwenyewe.
Kuna rafiki yangu mmoja ntamwita V. yeye alimpenda msichana anaitwa M lakin M akawa kwenye relationship na mwingine. Jamaa akavumilia wakawa wanapiga story kila siku zile goodmorning, goodnight, kukumbushana muda wa lunch nk. Baadae jamaa wa M akawa msumbufu, M akatafuta comfortability kwa V. Kama unavyojua mwanamke anajirahisisha sana kwa mwanaume anayejua care. So V akajipatia mpaka leo.
Mi nakushauri kama kweli umempenda vumilia kama miezi 6 hivi utakuwa na majibu
hakuna kitu nachukia kama kuwa a shoulder to cry....
 
Hakika mkuu,kuna dada humu ndani mwezi wa pili huu sasa naonesha hisia zangu kwake.Ila cha ajabu hajawahi hata uthamini upendo wangu kwake.Sijui nitumie njia gani?Isitoshe yeye ni mtu alienifanya ni SIGN UP hapa jamii forums.Anyway...
Usikate tamaa mkuu, endelea tu kumfuatilia ipo siku atakunjua moyo wake kwako.
 
Hakika mkuu,kuna dada humu ndani mwezi wa pili huu sasa naonesha hisia zangu kwake.Ila cha ajabu hajawahi hata uthamini upendo wangu kwake.Sijui nitumie njia gani?Isitoshe yeye ni mtu alienifanya ni SIGN UP hapa jamii forums.Anyway...
Mfwate pm mkuu
 
KUNA WANAWAKE WANAKERA, UKIWAPENDA WANARINGAA, WANAJISAHAU KUWA WAKO WENGI KULIKO SISI, AKIJA KUSTUKIA MIAKA 40 HYO, HAKUNA NDOA. TULIENI DADA ZETU, UKIPENDWA PENDEKA.. USHIKWAPO SHIKAMANA
 
Back
Top Bottom