Nimekutana na huu ujumbe

Nimekutana na huu ujumbe

kwel kabsa
kuna msichana nilimpenda kwa machoz yangu yote. nilimthamin na kumpa nafas ya umalkia wa dunia yangu ya mapenz lakin alichonifanya ilikuwa majuto maana alitumia nafas hyo kuninyanyasa na kunitenda alivyojifikir nililia sana na kudharauliwa na mbaya zaidi alifanya hayo katika kipind ambacho nilikuwa nataka nkamtambulishe nyumban .
baadae niligive up.
baada ya mwaka alirud et nimsamehe yaan mpaka sasa anapiga simu na kunitafta sana .
mwenyewe npo katika harakat za kuoa .
kwel wanawake wengine awapendek
 
Nikwambie kitu mkuu, go to someone who will value your time, your care, your feelings, and your love towards her. You cant force someone to love you if she doesnt have any feelings for you. One day ataelewa haya maneno but wewe utakua umetulia kwenye mikono ya unayemstahili
Wakati mwingine "patience pays" yaani uvumilivu unalipa.
Wanawake ni viumbe waenda pole. Unaweza mwambia yoote ya moyoni lakini akakukatalia hamad baada ya mwezi au miezi anajileta mwenyewe.
Kuna rafiki yangu mmoja ntamwita V. yeye alimpenda msichana anaitwa M lakin M akawa kwenye relationship na mwingine. Jamaa akavumilia wakawa wanapiga story kila siku zile goodmorning, goodnight, kukumbushana muda wa lunch nk. Baadae jamaa wa M akawa msumbufu, M akatafuta comfortability kwa V. Kama unavyojua mwanamke anajirahisisha sana kwa mwanaume anayejua care. So V akajipatia mpaka leo.
Mi nakushauri kama kweli umempenda vumilia kama miezi 6 hivi utakuwa na majibu
 
Hakika, hamna kitu kibaya kama kuchezea hisia za mwanamke kwa makusudi, ni vyema ukaachana nae kuliko kuchezea hisia zake.

Hata sisi wanaume hatupendi stress lakini isiwe ndio chanzo cha kuwapa stress na kuchezea hisia zao..Tuwape heshima zao wanazostahili
 
Go for the one for you kiongozi
huyo mwingine mwache aendelee kukutafuta mume wa mtu mtarajiwa
 
Hakika, hamna kitu kibaya kama kuchezea hisia za mwanamke kwa makusudi, ni vyema ukaachana nae kuliko kuchezea hisia zake.

Hata sisi wanaume hatupendi stress lakini isiwe ndio chanzo cha kuwapa stress na kuchezea hisia zao..Tuwape heshima zao wanazostahili
Kakaa ndiyo maana nakupenda, lkn unanishangaza mbn hujaoa
 
Hakika mkuu,kuna dada humu ndani mwezi wa pili huu sasa naonesha hisia zangu kwake.Ila cha ajabu hajawahi hata uthamini upendo wangu kwake.Sijui nitumie njia gani?Isitoshe yeye ni mtu alienifanya ni SIGN UP hapa jamii forums.Anyway...
SIGN DOWN kama hathamini upendo wako. Sio kesi
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hata mm humu kuna dada namuelewa sana
Mkuu mfungukie tu huez jua maybe na yeye anakusubiri, ila iwe uko serious, sio mapenzi ya hit and run mana hua hayadumu, na kama ana mtu ambae anampenda tayari basi heshimu maamuz yake.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Nikwambie kitu mkuu, go to someone who will value your time, your care, your feelings, and your love towards her. You cant force someone to love you if she doesnt have any feelings for you. One day ataelewa haya maneno but wewe utakua umetulia kwenye mikono ya unayemstahili
The problem is wanaume tunapenda wanawake wasiotupenda mpaka tusumbuliweee na kutukanwa ndio tunakoma
 
Hakika mkuu,kuna dada humu ndani mwezi wa pili huu sasa naonesha hisia zangu kwake.Ila cha ajabu hajawahi hata uthamini upendo wangu kwake.Sijui nitumie njia gani?Isitoshe yeye ni mtu alienifanya ni SIGN UP hapa jamii forums.Anyway...
mkuu ujumbe huu hauapply kwa kesi yako. Unawazungumzia wale ambao wako kwenye mahusiano
 
Wakati mwingine "patience pays" yaani uvumilivu unalipa.
Wanawake ni viumbe waenda pole. Unaweza mwambia yoote ya moyoni lakini akakukatalia hamad baada ya mwezi au miezi anajileta mwenyewe.
Kuna rafiki yangu mmoja ntamwita V. yeye alimpenda msichana anaitwa M lakin M akawa kwenye relationship na mwingine. Jamaa akavumilia wakawa wanapiga story kila siku zile goodmorning, goodnight, kukumbushana muda wa lunch nk. Baadae jamaa wa M akawa msumbufu, M akatafuta comfortability kwa V. Kama unavyojua mwanamke anajirahisisha sana kwa mwanaume anayejua care. So V akajipatia mpaka leo.
Mi nakushauri kama kweli umempenda vumilia kama miezi 6 hivi utakuwa na majibu
Cc Perfectz

Umesoma hapa kaka ?! Umeambiwa labda uvumilie ..lakin dah unavumilia badae unakuja kupewa kadi ya harusi
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Porojo tu, tafuteni hela, nani kasikia mtu mwenye hela amedharauliwa au ametendwa awe mwanamke au mwanaume. Fedha ndiyo sabuni ya roho, mapenzi ni umasikini.
 
Hakika, hamna kitu kibaya kama kuchezea hisia za mwanamke kwa makusudi, ni vyema ukaachana nae kuliko kuchezea hisia zake.

Hata sisi wanaume hatupendi stress lakini isiwe ndio chanzo cha kuwapa stress na kuchezea hisia zao..Tuwape heshima zao wanazostahili
Kabisa ndugu yang
 
The problem is wanaume tunapenda wanawake wasiotupenda mpaka tusumbuliweee na kutukanwa ndio tunakoma
Sujui kwa nini inakuwaga hivi. Utaona mtu anakupendaa ila wewe ndo hata mshipa. Nna imani sio kwetu tu hata kwenu
 
Back
Top Bottom