BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,341
- Thread starter
- #81
Hahasumaku zitavuta automatic
Hahasumaku zitavuta automatic
Ndio.kwaio ume give up
Mvumilivu hula mbovuEndelea kusubiri mvumilivu hula mbivu lakini sometimes zinaoza
Usijisumbue wengine siyoHakika mkuu,kuna dada humu ndani mwezi wa pili huu sasa naonesha hisia zangu kwake.Ila cha ajabu hajawahi hata uthamini upendo wangu kwake.Sijui nitumie njia gani?Isitoshe yeye ni mtu alienifanya ni SIGN UP hapa jamii forums.Anyway...
Hilo ndo jambo la msingi,usipoteze muda wako kwa mtu asiyekufikiria hata kwa.sekundeNikwambie kitu mkuu, go to someone who will value your time, your care, your feelings, and your love towards her. You cant force someone to love you if she doesnt have any feelings for you. One day ataelewa haya maneno but wewe utakua umetulia kwenye mikono ya unayemstahili
True mpendwaHilo ndo jambo la msingi,usipoteze muda wako kwa mtu asiyekufikiria hata kwa.sekunde
Pole sana mkuuHakika mkuu,kuna dada humu ndani mwezi wa pili huu sasa naonesha hisia zangu kwake.Ila cha ajabu hajawahi hata uthamini upendo wangu kwake.Sijui nitumie njia gani?Isitoshe yeye ni mtu alienifanya ni SIGN UP hapa jamii forums.Anyway...
Kuna mtu humu namtongoza tokea nijiunge jf ila hanielewi. Huu ujumbe mujarabu kabisa kwake.
Kumbe nawe kama mimi tu!!!
![]()
![]()
![]()
![]()
Me Moree NeyMekumithiii![]()
mzima mamyAntie sema nikutume basi unisaidie.
Nitume jamaan auntie nikamwambieAntie sema nikutume basi unisaidie.
Nishapoa mkuuPole sana mkuu
Nenda kamwambia mungu anamuona.Nitume jamaan auntie nikamwambie
Hahahhh sasa nikamwambie namjuaje mie auntie jamaanNenda kamwambia mungu anamuona.
Yaan umeongea kwa hisia mpaka nimejiskia vibaya huyo dada akuelewe tuNishapoa mkuu