Nimekumiss Marangu Mtoni...!!!!

Shem Lady doctor...mimi si mpalestina bana...kwetu ni kule kwa ma beauty queen..a.k.a Mrs. Mkapa alikotokea..if yu no waram seying!!!

hahahaaa...... Unatania hadi dada zako.
Christmas si utaenda kuhesabiwa wewe, utanipitia namimi aisee kama utaenda maana ninampango mwezi ujao kusogea Geneva
 
Last edited by a moderator:

ukachukue tootoz za ashira nini??
 
Last edited by a moderator:
wanaotaka kwenda Marangu wanyooshe kidole.............
 
Umenikumbusha Sembeti kwetu..

Asee! Nlikuwa navukaga kwenda sembeti kumfata binti flan hivi! Kwetu ni maeneo ya kwa Bw.Laany (Allan) karibu na hotel ya mserika(miss Erica).

Afu kuna mgahawa nlipita maeneo ya posta mjin unaitwa Sembeti. Ngoja ntaufatilia kama una connection na huko au ni jina tu kufanana.
 
Umenikumbushia mwaka 1997 nilipoenda kumzika Sister.. Marangu Juu R.I.P Dada yangu... Kule Tunazikia Shambani..... Karibu na kwa Mrema... Usiku na asubuhi ni Baridi Balaa
 
Umenikumbushia mwaka 1997 nilipoenda kumzika Sister.. Marangu Juu R.I.P Dada yangu... Kule Tunazikia Shambani..... Karibu na kwa Mrema... Usiku na asubuhi ni Baridi Balaa

Ni kweli mkuu hata sisi tulienda kwenye kumbu kumbu ya babu yetu mzee Ignace Mella!
 
Mi Hoteli za Marangu tu ndio huwa zinaniacha hoi.. Yani huwezi amini ni vijijini! Kama hujafika jitahidi ufike.
Capricorn Hotel

Kilimanjaro Mountain Resort

Marangu Hotel

Nakara

Marangu TTC

Babylon

Ndoro Waterfalls
 
kwa sasa nipo mazingira haya naenjoy hali ya hewa ambayo ni safi.hongereni watu wa maeneo haya kwa utunzaji wa mazingira
 
hahahaaa...... Unatania hadi dada zako.
Christmas si utaenda kuhesabiwa wewe, utanipitia namimi aisee kama utaenda maana ninampango mwezi ujao kusogea Geneva

Worry not..uje na shemeji tumfahamu pia!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…