Nimekumbuka zamani

Nimekumbuka zamani

Mtu unasukumwa kwa nguvu unapaaaa hadi unawaza ukidondoka umekwisha. 😂😂😂pole sana
Sisi tulikua tumeifunga juu ya mti mkubwa chini kuna maanguko ya maji , nikasukumwa nikaenda juu nikazunguka, Nikabinukia upande wa pili wa kamba, then nikadondokea karibu kabisa na jabali ilikua hatari halafu watoto wengine wakakimbia , bahati nzuri kulikua na wadada wanafua wakanitoa ,nilishakunywa maji ya kutosha.
 
Ungepiga kichwa kwenye hilo jabali habari yako ingekuwa imeisha😂😂😂
 
Back
Top Bottom