Nimekumbuka zamani

Nimekumbuka zamani

Kwanini nisizijue na huku uswazi ndio mboga yetu. Ukipata hizo za buku na vile vipilipili vya mbilimbi. Ni unga robo tu unasonga ugali siku imepita.
Sasa hivyo ndio vimenikuza kwahyo uwezi sema mimi ni waushuani
 
Back
Top Bottom