Kama yupo hasidi mwenye husuda na undugu wetu tulio nao kati ya Waislamu, Wakristo na wapagani anayetaka tufarakane basi namuombea kwa Mwenyezi Mungu ashindwe na alegee na ikiwezekana afe kabla hajatimiza azma yake.
Leo ilikuwa ni sherehe ya ndugu zangu Waislamu ama hakika tumesherehekea kwa upendo na umoja wa kipekee kama taifa tunapaswa kujivunia kwa umoja na upendo huu maana haya mambo yanapatikana Tanzania tu , leo nimekula pilau mpaka nimevimbiwa unatoka huku unabembelezwa uende, yaani siku zote zingelikuwa hivi...
Narudia tena shetani anayetaka kutugombanisha ashindwe na alegee, Mwenyezi Mungu aulinde umoja na undugu wetu huu udumu milele.