........nimekukumbuka sana :'(

Hahaha Da Mkubwa Nyamayao, you are very right mydia, nothing, I say nothing under this Sun will ever separate us because we are Soulmates............. Hivi we Mbu mbona umenletea kesi weye humu? Haya uje useme sasa nini kimekusibu.........

.....,hahaha, MwanajamiiOne, kwani no siri?
 
Last edited by a moderator:

...,.,jamani, jamani, Kaunga jamani.... Mbona hivyo lakini ?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Dark City hawa ambao hawana voting rights wakiongozwa na Fixed Point wanaweza kuleta purukushani sana kwenye kikao kwa kunyimwa haki hiyo ya kutoa maamuzi, hebu fikiria tena labda wapate hata nusu kura... lol!

 
Last edited by a moderator:

Acha tu mkuu BAK Mbu akionekana tu humu watu tunapatwa na mararia, tunasubiri Asprin na klorokwini tu hapa tupate ahueni
 
Last edited by a moderator:
Mhhhh! Mbu umeyasikia hayo maneno ya Maty!?...Naona Maty naye yumo katika kundi la wanaougua Malaria Mbu anapokuwa angani JF, maana nawe ulipotea kwa kipindi kirefu na kuonekana kwa nadra sana....leo umejaa tele kama pishi ya mchele...lol!!!.

Acha tu mkuu BAK Mbu akionekana tu humu watu tunapatwa na mararia, tunasubiri @Aspirin na @Klorokwin tupate ahueni
 
Last edited by a moderator:

hahahahaha, kitu kinakuwa kitamu kama asali yenyewe, hahaha nawe husahau jamani?:smile-big:, usitumie za kariakoo plz zimechanganywa na mashudu:tape:
 
kha, wewe mwanaume wewe, ndio nini kupotea hivyo jamani? aisee natamani kukushumu aisee
hahahaha bi dada nichunu tu jamani za masiku? nipo bada si unajua siku hizi JF ya dot.com tumewaachia lol tumekuja hapa kupa suport ya kuunda tume ya ukweli na maridhiano ili Mbu ale sikukuu vizuri
 
Last edited by a moderator:
......lol! 'Bulls-eye!'

Umejuaje? Labda soulmate aje akanushe.

Lol We Soulmate si unanjua mie masurprise siyajuagi, ungeniuma skio basi hata PM mwenzio nshakanusha kitambo kuwa sihusiki na kuukiza mtima wako mie! Naanzaje kwanza ? Hebu sema vizuri maan anaanza kuhisi name niingie kwenye jopo la maridhiano ingawa nimeambiwa sina voting power!! (Ila nadhani ntaruhusiwa kuwa na ile ye Veto .........kwa hisani ya Babu DC
 
Mi nasubiri hilo jopo la babu Dark City, BAK nk. likikamilika tu na mimi naleta langu hapa lol. Mbu una balaa weye ushafuturu kwanza nachelea utafunga siku 40 bila kunywa wala kula kama Yesu upinzani ukianza humu

Halafu wewe matty,

Naomba ubadili signature kwanza kabla hatujaharibu!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Mjukuu unataka gender balance sio? ngoja Babu Dark City akufikirie

Si ndio hapo Babu Kimey, yaani Babu Dark City ye anataka wanaume tu, asa wanaume na mambo ya matters of the heart wapi na wapi, nyie huwa sio watu wa mafeelings kiviiiiiiiiiiileeee. Mtakosea step kasha Soulmate abakie na maumivu yake ya moyo, aishie lkunukuu nyimbo zote za R Kelly...........
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…