.......Hahahha huyu The Finest bwana hebu mwulize Teamo, ye ndo aliyekabidhiwa funguo na mafaili yote. Mara ya mwisho alionekana Ubungo Bus Stand akipanda BM kuelekea Morooo........... Da Mkubwa Maty atakuwa na taarifa zake
...........Huu sasa uchokozi Soulmate! Kha!! Hebu usizichokoze hisia za Enzi za ujana wangu we Mbu.
......sitting by a window tucking down peppered beef steak and washing it down with a glass of 'shiraz' au Syrah!
....admiring the cool and calmness of ngorongoro crater, huku kina dada wa kimaasai wakipita na mizigo ya kuni!....
Ahh! Jamani ndoto nyingine taaamu mpaka bhaaaas.... π
......... MwanajamiiOne,
Navutia kasi mwenzio usingizi wa leo, hukumbuki "kujipendelea muhimu?"
Mwenzio huku Uswazi kuna pupwe kama la........
Natamanije kuamka na milio ya ndege, vi dik dik, na magari ya watalii wakijiandaa kwenda early game drive....
Natamanije niote niote tu haka ka telemka tukaze kawe 'sita by sita' huku nimejifunika duvet gubi gubi, smelling a nice brewed aroma ya Arabica coffee beans....
Yaani,......hivi naota ee?
Badala ya kwenda kuchota maji kwa mpemba ndoo shillingi mia, ningekuwa najiandaa na warm/hot pressured shower bafuni....
Ah,.....acha nilale bana.
Nakumbukia mengi mie....

.....................Hala hala usijeota tu kwa sauti maana hizi\o ndoto zako mh.......... Kuna sehemu nimeona Kamanda TIMING kaomba kuwa mshenga mh wataka kuoa taifa gani tena maana ushanga wake huy bwana si wa kitoto ati..... mie naomba tu nialikwe kwenye kula kombe,
....................Hahaha Babu Dark City, umesahau kuniCC na mie hapo.............. so CC MwanajamiiOne
....................Hahaha Babu Dark City, umesahau kuniCC na mie hapo.............. so CC MwanajamiiOne
......Si ndo hapo sasa Babu yangu? Ila haya umeyataka weye, mie nliomba niwepo kwenye jopo na niwe na voting power mbona mambo yangekuwa mengine?Unajua nini MwanajamiiOne,
Siamini macho yangu....
Yaani watu wanaanza safari ya mbugani na kutuacha tukihangaika na jopo??
The good thing, ni kwamba yote ni mema...lengo linakaribia kutimia...liwalo na liwe..!!
Babu DC!!
Unajua nihisi kukuogopa??
Naona hata usingizi umekuishia...
Na wewe unaungana na soulmate kwenye safari ya kwenda kushangaa wanyama na ndege?
Nalala mie jamani....
Babu DC!!
Unajua nini MwanajamiiOne,

Nipo Mbu thanks kwa kunikumbuka, nimekuwa busy sana sana, kuna kipindi nikawa sielewi mambo yanaendaje humu, yaani nikawa nisipoingia mwezi nikipata nafasi nakuta changes sana, ila nipo salama kabisaaa..... Umeona ee? Mwezi wa amani na upendo.....kutakiana mema na kusameheana.
Hivi, yule chalii klorokwini aliishia wapi? Nami humu MMU nishakuwa mgeni sasa...
Those days we'd kina Gaga, BelindaJacob na kisa cha "ameuteka moyo wangu," Nyamayao, LD na wengi wengineo hata kuwataja naogopa nisijeambiwa walishatangulia!...
Nipo Mbu thanks kwa kunikumbuka, nimekuwa busy sana sana, kuna kipindi nikawa sielewi mambo yanaendaje humu, yaani nikawa nisipoingia mwezi nikipata nafasi nakuta changes sana, ila nipo salama kabisaaa