MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,586
Hahahhahah Soulmate Mbu hii post imenifanya niangue cheko katikati ya hasira loh.............. Haya Dark City, kama jopo lishaanza kazi basi mtuhumiwa namba moja nawashauri awe ni Teamo...................... (Eh kumbe mie nimeambiwa niwe mtazamaji tu).....na hivi? Nani aliyempa madaraka Teamo kushikilia funguo zote za hawa wapendwa? Mimi nachukia sana,...
Ona sasa anavyonifanyia? Nitalia mimi, ohhoo!....machozi yangu hayaendagi bure!
Hahahah Soulmate, mwabie Babu Dark City mana nnaona afanya kunkremu tu hapa............. mwenzie nshakuwa gesi sio kuni tena.
.......ahahaha......Phew! kwa sababu za 'kiungwana' kabisa, naomba MwanajamiiOne, kama nilivyomtenga Smile, au Husninyo, au BelindaJacob, na hata nyumba kubwa na wengineo wengi wakongwe humu, wapewe dharura ya kuwa 'watizamaji' kwanza.
QUOTE]
bado niendelee kutazama tu au nichangie?
.......Hahahahhahaah umeshaanza kunchokoza Soulmate, eti napangusa kibega hahahahahha. Kusema ukweli JF imekuwa mwalimu wangu mzuri sana aisee... yaani hadi naulizwa hivi ni weye kweli wa Enzi za Nalivua pendo? Maana nlikuwa machozi najaza kikombe kila siku ah......no wonder nlikuwa kimbaumbau loh......we acha tu, yaani hajajua tu why siku hizi huanzishi thread?
Tangu siku ile nikuone Kila kitu unaki solve kwa kupangusa kibega,Mnh....nikajisemea 'misukule' ishakutoka weye 🙂 LOL
Siyo ubabe bwana, ni mojawapo ya majukumu yetu kama wanaume...kumlinda na kumwokoa mwenzetu kwa nguvu na gharama zozote...liwalo na liwe..lol!!
Kwa nini mlitaka kumkomesha/kumsulubu Mbu?
Niambie labda nibadilishe msimamo wangu aisee...
Halafu mambo yako ya kukubali kupotezwa kama Teamo sifagilii kabisa unajua...
Babu DC!!
........tena King'asti nakukumbusha, rafiki ni zaidi ya ndugu.... Chonde chonde ----usiharibu mambo hapa, enheee!
.....na hivi? Nani aliyempa madaraka Teamo kushikilia funguo zote za hawa wapendwa? Mimi nachukia sana,...
Ona sasa anavyonifanyia? Nitalia mimi, ohhoo!....machozi yangu hayaendagi bure!
................. na ukishinda hii kesi nina ushahidi wa kutosha kuwa mlalamikaji alitoa rushwa ili ashinde.
Ukweli kutoka moyoni nimeipenda thread hii sana! Such a soul searching thread!
--- ♪ ♫.....I've been really tryin', baby
Tryin' to hold back these feeling for so long
And if you feel, like I feel baby
Then come on, oh come on
Let's get it on, oh baby
Lets get it on, let's love baby
Let's get it on, sugar
Let's get it on, woah
We're all sensitive people
With so much to give, understand me sugar
Since we got to be
Let's say, I love you
There's nothin' wrong with me
Lovin' you, baby love, love
And givin' yourself to me can never be wrong
If the love is true, oh baby
Don't you know how sweet and wonderful life can be?
I'm askin' you baby to get it on with me, ooo ooo
I ain't gonna worry, I ain't gonna push
I won't push you baby
So come on, come on, come on, come on baby
Stop beatin' round the bush, hey
Let's get it on, let's get it on
You know what I'm talkin' 'bout
Come on baby, let your love come out
If you believe in love
Let's get it on, let's get it on baby
This minute, oh yeah let's get it on
Please, let's get it on
I know you know what I been dreamin' of, don't you baby?
My whole body makes that feelin' of love, I'm happy
I ain't gonna worry, no I ain't gonna push
I won't push you baby, woo
Come on, come on, come on, come on darling
Stop beatin' round the bush, hey
Oh, gonna get it on, threatin' you, baby
I wanna get it on
You don't have to worry that it's wrong
If the spirit moves you
Let me groove you good
Let your come down
Oh, get it on, come on baby
Do you know the meaning?
I've been sanctified, hey hey
Girl, you give me good feeling
So good somethin' like sanctified
Oh dear I, baby
Nothing wrong with love
If you want to love me just let your self go
Oh baby, let's get it on
......umeona ee? Sasa imagine upo katikati ya mbuga ya serengeti...Mwendo 70kph, Vumbi, jua, mawe na mashimo njiani japo Grader za Tanapa zimejaribu kurekebisha...
...macho yanaangalia zile plains mpaka upeo wa macho----Marabou Stokes, Nyumbu, Swala, na pundamilia pembezoni mwa barabara...
mpo watatu tu...weye, 'mutima wange,' na dereva wenu ndani ya Land Cruiser, halafu kuna CD ina play wimbo wa Marvin Gaye;
♪ ♫ --- --- ♪ ♫
......acha tu!!!
.......... Ah mie nimesema tu just in case judgement ikionekana kuegemea upande mmoja. Hivi jopo lishaanza kazi au bado Mbu? manaa kwa umbeya mtoto wa kike mie!!....lol, soulmate bana, sasa mbona unalinzisha timbwili tenaaa, kha? Hayeshi? 🙂
Huyu King'asti mpotezee kwa kesi hii, fanya kama hahusiki kabisaaaaaa....
.......Hahahha huyu The Finest bwana hebu mwulize Teamo, ye ndo aliyekabidhiwa funguo na mafaili yote. Mara ya mwisho alionekana Ubungo Bus Stand akipanda BM kuelekea Morooo........... Da Mkubwa Maty atakuwa na taarifa zake.....hivi, yu wapi Mr Rocky?
Halafu MwanajamiiOne na Maty tafadhalini mnambie yu wapi ndugu yangu The Finest.... 'Kimya kingi,....!'