injini imeshakufa alafu watu wametoka front, huoni hapa mahesabu hayakutimia?Si kweli, wananchi walifanya upande wao ukaisha...
Kule kwingine ni kama gari ilikuwa inasonga kwa momentum baada ya injini kuzima..
Wewe jamaa nadhani hukufuatilia alikuwa amezungumza nini.Yule alitetea ugali wake tu,hakuwa na jipya..alitakiwa akiri maovu yote kuanzia walivyo ua upinzani kwa kununua wabunge wa upinzani..na kuiba kwa kiwango kikubwa uchaguzi wa mitaa mwaka 2019 na ule uchaguzi mkuu mwaka 2020..
serikali ya sasa inaiga tu yale ya alofanya magu.
Ni baada ya kuondolewa kwenye ulaji?Wewe jamaa nadhani hukufuatilia alikuwa amezungumza nini.
Alikiri CCM kuiba kura kwa kuunganisha mifumo ya NIDA, NEC na wa CCM..
Either way, alikubali kosa, alifichua hilo jambo hadharani, alilaani, alitubu na kujaribu kupambana kuondoa tatizo.Ni baada ya kuondolewa kwenye ulaji?
Sikuona popote akimlaumu magu,ama kukiri kuwa wao waliharibu uchaguzi wa 2019 na 2020..lakini anaulaumu utawala wa samia..ikiwa wao na magu ndo waasisi.Either way, alikubali kosa, alifichua hilo Jambo hadharani, alilaanj, alitubu na kujaribu kupambana kuondoa tatizo.
Yeye na aliye kaa kimya hata kama hajahusika kufanya nani mbaya?
Wahoji kitu gani wakati wamemchukua wenyewe, ukijaribu kuingilia maslahi ya Abdul, mama yake bi Urojo, Jakaya, Rostam na Ridhiwani ujue unapambana na timu nzima ya TISS, jeshi lote la Polisi pamoja na JWTZ. Hao wahuni wameikamata nchi nzima mpaka ndani ya Sukuma gang iliyomuaminisha Polepole kurudi kuwa watamlinda good percentage yao ni chawa wa hao mafisadi, kauzwa mchana kweupe kwa vipande thelathini vya fedha.Inasikitisha sana mwanadiplomasia kupotezwa na hakuna anayehoji kuanzia Serikali aliyoitumikia mpaka chama chake
Si kweli, wananchi, taasisi za kidini, vyombo vya usalama, vyama pinzani na wadau toka chama tawala.. kwenye hayo makundi kila mmoja ali play part yake... movement za wananchi walianza wenyewe mitandaoni baadae wakaungwa mkono na makundi mengine...injini imeshakufa alafu watu wametoka front, huoni hapa mahesabu hayakutimia?
sawa wamefanya upande wao --- walipewa lini taarifa kwamba mzigo umeshakataa? au watoaji taarifa walikua hawapo?/ au walipiga kimya kwamba maafa nayo mtaji?
Sikuona popote akimlaumu magu,ama kukiri kuwa wao waliharibu uchaguzi wa 2019 na 2020..lakini anaulaumu utawala wa samia..ikiwa wao na magu ndo waasisi.Either way, alikubali kosa, alifichua hilo Jambo hadharani, alilaanj, alitubu na kujaribu kupambana kuondoa tatizo.
Yeye na aliye kaa kimya hata kama hajahusika kufanya nani mbaya?
Itasaidia Nini kumlaumu mfu (marehemu)?Sikuona popote akimlaumu magu,ama kukiri kuwa wao waliharibu uchaguzi wa 2019 na 2020..lakini anaulaumu utawala wa samia..ikiwa wao na magu ndo waasisi.
Hujui,How? Vpn ni kupata access ya field iliyofungwa haina uhusiano na identity ya mtu
Ni baada ya kuondolewa kwenye ulaji?
mkuu wakati walivokua wanatoka okt 29 wananchi walijua kuna risasi au hakuna?Si kweli, wananchi, taasisi za kidini, vyombo vya usalama, vyama pinzani na wadau toka chama tawala.. kwenye hayo makundi kila mmoja ali play part yake... movement za wananchi walianza wenyewe mitandaoni baadae wakaungwa mkono na makundi mengine...
Na wananchi ndilo kundi lilikuwa lina nguvu na ushawishi kuliko kundi lingine lolote... na ndilo kundi lilikuwa linategemewa.... ndio maana Gwaji alisema 'nipo pamoja na wananchi'
Itasaidia Nini kumlaumu mfu (marehemu)?
Kwanini usimlaumu aliye hai ambaye anaweza kubadili muelekeo mbovu na kusahihisha makosa?
Why dwell on past?
Isaya 43:18-19 (BHN)
'Msiyang'ang'anie mambo yaliyopita, wala msifikirie vitu vya zamani. Tazameni, mimi ninafanya kitu kipya. Kinafanyika sasa hivi, nanyi mtaweza kukiona.
Tunaweka kumbukumbu sawa mzeeItasaidia Nini kumlaumu mfu (marehemu)?
Kwanini usimlaumu aliye hai ambaye anaweza kubadili muelekeo mbovu na kusahihisha makosa?
Why dwell on past?
Isaya 43:18-19 (BHN)
'Msiyang'ang'anie mambo yaliyopita, wala msifikirie vitu vya zamani. Tazameni, mimi ninafanya kitu kipya. Kinafanyika sasa hivi, nanyi mtaweza kukiona.
Nadhani alidanganywa,Polepole nahisi alilogwa kurudi Tanzania sio Bure
Nadhani alihadaiwa akaingia mkengePolepole nahisi alilogwa kurudi Tanzania sio Bure
Kabisa, kabisa.Either way, alikubali kosa, alifichua hilo Jambo hadharani, alilaanj, alitubu na kujaribu kupambana kuondoa tatizo.
Yeye na aliye kaa kimya hata kama hajahusika kufanya nani mbaya?
Break the problem down into it's most basic and undeniable truth to avoid building a solution on faulty.Itasaidia Nini kumlaumu mfu (marehemu)?