Nimekukumbuka Polepole: You made a terrible mistake!

Usingelifanya harakati zako ( nzuri, I can say by now) ukiwa hapa!

Walijua una siri zao nyingi, lazima wakumaliza as they have done!

Nakuombea huko ulipo tukuone tena.

AMINA
Kuna dingi alimwingiza chaka - akamwita aje fafanye movement pamoja hapa hapa ground...aisee kumbe mtego.....akamchoma watu wakamdaka ki ulainii kama kuku wa kisasa bandani...
Very sad 😔 unamwamini mtu kumbe jini.
 
Inashangaza watu waliokuwa ndani ya watawala, wakashiriki kutengeneza mifumo, wakaiona inafanya kazi ghafla wanaanza kuamini kwamba wana uwezo wa kupambana na dola.

Mifano ya walioshughulikiwa wanayo na mara nyengine walishiriki katika kushughulikiwa kwao.
 
Kuna dingi alimwingiza chaka - akamwita aje fafanye movement pamoja hapa hapa ground...aisee kumbe mtego.....akamchoma watu wakamdaka ki ulainii kama kuku wa kisasa bandani...
Very sad 😔 unamwamini mtu kumbe jini.
Kuna dingi wa kulikomboa taifa miaka hii 🤠🤠🤠
 
Uzi unatia hasira wapumbavu wanamuulizia mtu ambaye alianza kuukataa mfumo wa kipumbavu unao kandamiza watanganyika
Pumbavu mwenyewe, tena nyie wanaharati uchwara ndo miku..n kabisa

Anaukataaje mfumo alioshiriki kuutengeneza

Mwisho PUMBAVU mwenyewe
 
Sasa utalaamu uko wapi hapo
 
Tanzania alikuwa anaonekana au alikuwa mafichoni mpaka walivyomtrack na kumbaini alipo?

Hivi hizi VPN ndio zinawadanganya?
How? Vpn ni kupata access ya field iliyofungwa haina uhusiano na identity ya mtu
 
Mambo ni mengi, ngoja nikae kimya tu.

Ila elewa tu asingetekwa balozi, ilikuwa ni habari nyingine. Maana waliokuwa nae walikuwa neutralized wote, na zoezi likafia pale. Niishie hapo.
sasa wazee wa "za ndani" mbona hawaku abbort mission kama unayoyasema ni kweli? kwahiyo kwa haya uliyoyasema hapa ina maana tunaoona kwamba waandamanaji oct 29 waliingizwa chaka tupo sahihi kwa muktadha huu?
 
Polepole chapter is closed and will not harm anybody in the future. Sawa na Major General Imran Kombe tu. Ukiwa na siri za Serikali kufa nazo tu, acha kubwabwaja. There's NO WAY uka survive. Polepole alikuwa mjinga sana.
 
Sasa utalaamu uko wapi hapo
alivovuliwa hadhi ya ubalozi si kawa raia wa kawaida tu?, au kuna sehemu uliona ombi lake la kujiuzulu ubalozi wa cuba limekubaliwa popote pale?
 
Usingelifanya harakati zako ( nzuri, I can say by now) ukiwa hapa!

Walijua una siri zao nyingi, lazima wakumaliza as they have done!

Nakuombea huko ulipo tukuone tena.

AMINA
Subiri kwani polepole ndio yule jamaa alokua anajipost HAPA NI WAPI NAULIZA HAPA NI WAPI mukawa munampigia makofi na kumsifu kaishi urusi sijui cuba
🤔
 
sasa wazee wa "za ndani" mbona hawaku abbort mission kama unayoyasema ni kweli? kwahiyo kwa haya uliyoyasema hapa ina maana tunaoona kwamba waandamanaji oct 29 waliingizwa chaka tupo sahihi kwa muktadha huu?
Si kweli, wananchi walifanya upande wao ukaisha...
Kule kwingine ni kama gari ilikuwa inasonga kwa momentum baada ya injini kuzima..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…