Nimekuja kushukuru JF

chai ya rangi

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2026
Posts
1,048
Reaction score
3,120
Kwakweli wengi huja humu kwaajili ya issue fulani lakini wakipata wanapotea jumla.

mimi niliwahi kuja kutafuta binti mzuri bikra wa kuoa, nimefanikiwa kumpata na nimekuja kushukuru.

Japo JF kuna connection ya kuwapata, kuna wengine ni watoto wao, wengine dada, wengine kaka binamu au rafiki, kwahiyo natoa wito wa kiendelea kiwasaka na oia ninawapa moyo kuwa wanapatikana
 
Hongera mkubwa tupe code
 
bro na ww unataka kuoa Bikra?.

Chai ya rangi sijui kafanyaje fanyaje kumpata.
Ila usukumani kule ndan ndan hawawez kosa. Tena hili kontena la form 4 waliomaliza. Hauwez kosa bikra.
Nataka ndio unafikiri sisi hatutaki huo utamu mnaoutafuta nyie au!?

Hahhaha ngoja nimfiche mdogo wangu ndnai nishamwambia ole wake!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…